UDSM ni chuo cha jiji la DSM, kuna shida gani wakitembea na vitambulisho?

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,364
13,186
Sioni tatizo wanafunzi wa UDSM wakitembea na ID zao jiji zima

What is the point of university of Dar es Salaam if they don't?

Na mtuache kutupiga piga na mawe kwani hakuna Miti mingine yenye matunda?


34462452fff50dd8ab84dc23a2820329.jpg
 
Wale wa mliopita na mliopo vyuo vya kata mtatokwa na povu saaaana!

Ukwel ndio huo UDSM sio cha nchiiiii
Chuo cha kata ni kipi
Status ya chuo kuitwa cha kata ni nini
Wasomi wengi wanaotoka udsm ni vilaza kuna tofauti kubwa kati ya academic performanxe na professional excellence
Nyie unaojita udsm unachekelea tu academic performance sio professional excellence ndo maana mna akili mgando za tangia ukoloni
 
Cha msingi ingia google uangalie orodha ya vyuo bora TZ na baada ya hapo uangalie orodha ya vyuo bora Afrika hapo ndo utajua kuna tofauti gani kati ya udsm na vyuo vingine vya nchi hii
 
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeendelea kushika nafasi ya kwanza katika orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania.
Katika takwimu zilizotolewa Januari mwaka huu na tovuti ya www.webometrics.info ambayo ni maarufu kwa kutoa takwimu na orodha za vyuo vikuu duniani iliyopo nchini Hispania, UDSM ndiyo chuo kikuu bora nchini huku kimataifa kikishika nafasi ya 2035 kikifuatiwa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinachoshika nafasi ya pili huku kimataifa kikiwa namba 3008 na nafasi ya tatu ikichukuliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ambayo ipo nafasi ya 3647 kimataifa.
 
Back
Top Bottom