Nyumba yangu haina matoleo na nataka kuendelea na ujenzi , je itawezekana kuiunga vizuri bila baadaye Kuleta nyufa

jsang

Member
May 2, 2015
8
20
Nataka iwe ya kisasa na Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo iliyozungushiwa rangi nyekundu na ninavyoitaji iwe ni hiyo ramani ambayo haina rangi
Iwe ya box kama hiyo chini
Msaada kwa wale wataalam na wazoefu Ktk ufundi
IMG-20210430-WA0016.jpg
IMG-20210430-WA0015.jpg
Polish_20210430_125304636.jpg
IMG_20210414_143642_846.jpg
Polish_20210501_020633021.jpg
Polish_20210501_020604765.jpg


Polish_20210501_015436495.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom