Mkopo chuo kikuu kozi ya utalii

YAKUBI

Member
Jun 23, 2020
20
2
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu na mimi nilimuandika spelling tofauti kama jina la kati kwenye kitambulisho changu italeta shida ? Na kama italeta shida vipi anaweza kubadili spelling za jina lake ili liendane na nililomuandika mimi kwenye vyeti vyangu kitambulisho chake yeye ni cha mpiga kura . msaada jamani nijue nafanyaje
 
Back
Top Bottom