Ufahamu kuhusu ubora wa simu za Samsung toleo la M series.. Na Ubora wa Simu za oppo na series ipi ni bora

S3 mini

Member
Dec 13, 2016
64
125
Naomba ushauri au elimu au Ufahamu kuhusu ubora wa simu za Samsung toleo la M series.. Na Ubora wa Simu za oppo na series ipi ni bora

Na ushauri kama nataka kuchukua simu kati ya hayo makampuni nichukue simu gani.. Kwa kuzingatia, ukubwa wa battery, ubora wa camera, ukubwa wa storage 128gb,na wastani wa bei kati laki 3 mpaka laki tano...
 
Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
684
1,000

Peleka uzi wako jukwaa la Science and Tech utapata uchambuzi wa kutosha.
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,471
2,000
Inabidi uanishe model ya simu ili kufahamu specification.

Model za M series zipo nyingi na kiuwezo na ubora pamoja na bei zinatofautiana.

Pia zipo simu za oppo ambazo ni nzuri kuliko baadhi ya samsung M series lakini pia zipo simu za oppo ambazo ni hafifu.

Ni vizuri walau utaje bajeti ama model ya simu maana hata gsm arena itakuhitaji kufahamu aina ya oppo au samsung M gani ili upate feuture zake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom