Mwalimu bora wa Physics aliyewahi kunifundisha

Mwalimu bora wa Physics aliyewahi kunifundisha

dimatteo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
868
Reaction score
935
Habarini wakuu wa JF.
Leo nimemkubuka Mwalimu wangu na kwa wengine ambae ni bora kabisa katika kizazi hiki na kijacho.

Huyu si mwingine ni Ngaola au ukipenda muite Moddy Physics/ Commissioner

Daah sitakusahau Baba, wewe ndie mwalimu wangu bora kabisa wa muda wote nilitesekaga sana kwenye Physics ila kwako nilipata unafuu mkubwa.

Marafiki zangu kipindi nipo A'Level na O'level walinibatiza jina la 'ZE YOUNG COMMISSIONER'
maana nilizipatia sana zile mbwembwe zako kama 'Let's stop here at this particular junction and if God wishes we shall meet 2moro"

Na jinsi ulivyokuwa unaguna yaani "mmhhhhhhh! mhhhhhh!"

Daah, sikuacha maarifa uliyonipatia nikae nayo peke yangu, ila nimeweza kuwafundisha vijana wengi wengi sana na nimepata sifa nyingi ila moyoni najua bila wewe nisingekuwa hivi.

Am so happy I'm medical personnel ila I love physics because of you na kwa sababu hukunikaririsha.

UISHI MAISHA MAREFU, COMMISSIONER
 
Kusoma Physics, kwangu iliishia form two.
 
Nilisoma notes zake za Modern Physics,kalipua hatari
Kajamaa ni kakilaza mnoo

Kuna dogo alinionyesha parmhlets zake... Wayback nko mwaka wa tano

Nikashangaa sana hawa watoto wanasomaje ani

Yanai vuluvuluuu
 
Kajamaa ni kakilaza mnoo

Kuna dogo alinionyesha parmhlets zake... Wayback nko mwaka wa tano

Nikashangaa sana hawa watoto wanasomaje ani

Yanai vuluvuluuu
Mkuu unamsema vibaya tu..ila Moddy Physics ni mwishooo...Pamphlet za moddy huwezi kuzielewa kama hujasoma kwake...ila ukihudhuria pindi lake anaongea na kuandika vitu vingi mnoo

Ndomana huwa hauzi pamphlet labda huyo mdogo wako aliomba kwa mtu na akatoa copy.......Moddy ni mtaalamu kurelease material hakuna mfano
 
Nilisoma notes zake za Modern Physics,kalipua hatari
Moddy hauzi pamphlet ba huwezi muelewa kama ulikuwa unangoja notes zake ndo usome...yule ukihudhuria lecture yake yani hutakaa uhangaike...yani ye anakupa concept za physics kiasi kwamba hunahaja ya kusolve maswali mengi kama Mgote
 
  • Thanks
Reactions: me1
Nakuona moody Physics ukijipigia upatu......inshort jamaa ni mweupe(shallow),mzurumat hamalizi topics,Kazi kutongoza vitoto vya kike wanaomuelewa wengi ni PCB ambao Physics huwasumbua.
Mimi sio mwalimu, mimi ni Mfamasia ila nimemkumbuka shujaa wangu....

PCM wenyewe walikuwa wananikubali kwa jinsi nilivyokuwa nawawashia moto ila kama ulishawahi hudhuria lecture ya yule jamaa

Amini kwamba hutokaa umbeze hata mara moja
 
Moddy hauzi pamphlet ba huwezi muelewa kama ulikuwa unangoja notes zake ndo usome...yule ukihudhuria lecture yake yani hutakaa uhangaike...yani ye anakupa concept za physics kiasi kwamba hunahaja ya kusolve maswali mengi kama Mgote
Kwanini usielewe pamphlet lake??.physics ni moja haijawahi kubadilika..sema yeye kapresent shallow sana
 
Mkuu unamsema vibaya tu..ila Moddy Physics ni mwishooo...Pamphlet za moddy huwezi kuzielewa kama hujasoma kwake...ila ukihudhuria pindi lake anaongea na kuandika vitu vingi mnoo

Ndomana huwa hauzi pamphlet labda huyo mdogo wako aliomba kwa mtu na akatoa copy.......Moddy ni mtaalamu kurelease material hakuna mfano

Few teachers knows physics in Tanzania

I noticed one called elias kihombo......

And my young cant use those pamphlets for his exams... That was just a young man i found him somewhere reading those rubbish physics... Et mtu anaaita mgote physics

Rubbish !
 
!
!
Kuna Kulwa John aisee Nnerest Morogoro Pale. Hatari sana huyu jamaa alikuwa. Tuliosoma forest gonga like twende sawa
 
Few teachers knows physics in tz

I noticed one called elias kihombo......

And my young cant use those pamphlets for his exams... That was just a young man i found him somewhere reading those rubbish physics... Et mtu anaaita mgote physics

Rubbish !
Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)

Eti "Mgote physics"..
 
Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)

Eti "Mgote physics"..
Wanaacha kusoma vitabu wanasoma pamphlets hawa watoto bhana
 
Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)

Eti "Mgote physics"..
Kama huyo mgote ndo taka taka kabisa anii....

Unategemea u best student hafu unakomaa na ally abdallah you can't be serious
 
Jamani nimesema sikiliza lectures za Moddy physics then nenda kasove au kasome kitabu chochote cha physics

Hakika utamsifia jamaa, yule jamaa the way anavyo release lecture yule mchizi sijawahi ona...

Mkuu mimi nilisolve,Nelkon,AC PHYSICS,Roger muncaster,Nelkon....inshort yule jamaa hauzagi pamphle labda aanze miaka hii ila notes zake ameandika kwa uchache sana, amelenga maswali tuu kwa ajili ya kukusaidia concept ila notes huwez zielewa na hazisomeki kama hujamsikiliza na ndomana haziuzagi
 
Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)

Eti "Mgote physics"..
Mgote hajui physics bali anakukaririsha physics......mimi baada ya kumsikiliza moddy kila kitabu nikikishika kilikuwa swadakta kwa zili concept alizonipa
 
Back
Top Bottom