Course ipi nzuri Kati ya hizi, katika usomaji wake, na ajira

matics

Senior Member
Aug 18, 2019
133
79
1. Bed special needs
2. Bed psychology
3. Bed in policy planning & management,
 
Hivi kumbe bado wanawaza kusoma waje kuajiliwa kwa awamu hii ? Pole sana kasome VETA umeme utapata ajira chap za TANESCO kuliko hizo degree
 
acha kukatisha watu tamaa, pamoja na kupata ajira lakini pia mtu unaongeza maarifa, swala la ajira ni kwa neema tu. Kwani kila uchwao watu wapya wanakuwa rucruited katika halmashauri na taasisi mbalimbali tu. Hato huko Tanesco unaposema wewe ni mbombongafu vilevile. Acha watu wasome mpaka kifo.
 
Ndo unamaanisha nini unaposema niwe na wito,au kazi yake ngumu
Kufanya kazi ya kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu ni changamoto hasa. Ulemavu wao ni changamoto kwa mtu anayesomea hiyo kazi si kwa sababu ana wito wa hiyo kazi bali yeye masilahi kwake ndiyo muhimu. Aina ya wanafunzi ni tofauti na wa shule za kawaida kwa hiyo unatakiwa ujitoe zaidi.
 
acha kukatisha watu tamaa, pamoja na kupata ajira lakini pia mtu unaongeza maarifa, swala la ajira ni kwa neema tu. Kwani kila uchwao watu wapya wanakuwa rucruited katika halmashauri na taasisi mbalimbali tu. Hato huko Tanesco unaposema wewe ni mbombongafu vilevile. Acha watu wasome mpaka kifo.
We una mawazo mazuri sna ya kushauri mtu, asantee
 
Asante kwa ushauri
 
acha kukatisha watu tamaa, pamoja na kupata ajira lakini pia mtu unaongeza maarifa, swala la ajira ni kwa neema tu. Kwani kila uchwao watu wapya wanakuwa rucruited katika halmashauri na taasisi mbalimbali tu. Hato huko Tanesco unaposema wewe ni mbombongafu vilevile. Acha watu wasome mpaka kifo.
Mwenzio amesema anataka asome apate ajira wewe unasema akaongeze maarifa utopolo mtupu, mwenzio hana shida na maarifa ana shida na kazi(ajira) apate pesa.
Habari za kusema recruited kila siku ni kumpamba mtu mwisho wa siku anaanza kulia lia nafasi 1 watu 100.

N:B usisome kupoteza pesa ila hali huna pesa za kukusaidia baada ya kusoma utaitwa msomi uchwara na degree yako mtaani kama Msukuma anavyo watusi watu wenye PhD zao bungeni
 
Asante kwa mawazo yko mmi naenda kusoma kuongeza maarifa maana tiar ajira ninayo,niliuliza nikilenga kwa baadae nkiamua kubadilisha mazingra ya kufanya kazi ipi Kati ya hzo naweza fanikiwa kubadilisha kwa wepesi
 
Ungesema hivyo ajira ninayo ila nataka kuongezea maarifa na yenye uhitaji sana

Kila la heri ndugu kapambane
 
Ndo hvyo ndug yangu,ili hata siku moja nkiamua kusaka kubalisha mazingra ya ufanyaji kazi nikute nina vigezo tiar,
 
Sasa naomba ushauri wako Kati ya hzo hapo ,nikasome ipi,kwa uelewa wako,
 
Nenda VETA kasomee ufundi nyundo. huko utapoteza muda wako bure
Asante kwa ushauri,ila uko VETA nilishapita kitambo sna,nikapata ujuzi wa kurekebisha electrical equipment,zilizoharbka,now ni fundi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom