Je umewai kuona mlolongo wa namba zinazo jiludia tena na tena mfano 1111 ,222 au umeskia kwamba kuona 12:12 kwenye saa ni ishara ya bahati . Kuona namba namba zinazojiludia kwenye saa au mahali...
Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000.
1. Diwani ya Mnyampala
2. Kisa cha mrina...
Habari ya saivi wakuu, naomba mwenye taarifa ya vyuo vya ualimu vinavyotoa course ya ualimu elimu maalumu hasa wenye tatizo la kusikia
Wapi zinatolewa na vigezo gani wanazingatia kwenye udahili...
Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha.
Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi
Chuo kizuri kwa hapa Arusha
Gharama zake
Soko la ajira likoje
Asanteni.
HABARI? wanafr naomba kuuliza na mwenye kunisaidia aweze kunisaaidia. kuna kitabu cha tamthiya kinaitwa ngoswe penzi kitovu cha uzembe kinafundishwa elimu ya sekondari. naweza kupata kikiwa (soft...
Habari wanajukwaa,mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa matokeo haya:
Civics -C
History - C
Kiswahili -C
Geography -B
Biology - D
Math's- F
English-F
Nilikua na mpango wa kujiendeleza...
MUHASSO ni chama cha wanafunzi wa chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha Muhimbili, wanajamii wenzangu nadhani wote mnakumbuka kuwa chama hiki kilifutwa na utawala wa MUHAS kibabe tu na...
Habari za mchana wakuu
Leo nimekuja na orodha ya waandishi ambao kazi zao zipo kwa lugha ya kiingereza ninaowakubali zaidi. Wapo wengi sana ila hawa wachache ndo nimewakumbuka.
Waandishi wa novel...
Wakuu,
Moja kwa moja kijana wenu nimekuja kuwauliza wana jf, Wabovevu na akili kubwa, naomba kufahamu kuhusu michongo ya hii Master ya Project Management.
Je, kwenye soko la ajira ina fursa?
Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini.
Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya...
Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya...
Bonjour! bonjour! bonjour!!
Hello! hello! hello!!
Ndugu; Kwa wale wanaozungumza au kutumia Lugha ya Kiingereza mtakubaliana na mimi kuwa ni ukweli ulotukuka kuwa lugha ya kiingereza imesheheni...
Jamani hivi ni kweli kwamba ukisoma EGM a'level University utasomea kitu kimoja na yule aliyesoma HGE.
Naomba kwa wale wajuzi wanijulishe kama ni kweli na kama si kweli ningeomba mnijulishe ni...