stone boy
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 107
- 19
HABARI? wanafr naomba kuuliza na mwenye kunisaidia aweze kunisaaidia. kuna kitabu cha tamthiya kinaitwa ngoswe penzi kitovu cha uzembe kinafundishwa elimu ya sekondari. naweza kupata kikiwa (soft copy) kama vile audio au video. kwani ninasikia zipo
au kama kuna njia ya kuwenza kudownload na kupata hiki kitu ninashida nacho
au kama kuna njia ya kuwenza kudownload na kupata hiki kitu ninashida nacho