Naomba mwenye taarifa kuhusu course za ualimu kwa wanafunzi wenye tatizo la kusikiaa

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
870
Habari ya saivi wakuu, naomba mwenye taarifa ya vyuo vya ualimu vinavyotoa course ya ualimu elimu maalumu hasa wenye tatizo la kusikia

Wapi zinatolewa na vigezo gani wanazingatia kwenye udahili nataka nimpeleke dogo huko

Ahsante
 
Back
Top Bottom