Msaada chochote ukijuacho kuhusu kozi ya TOUR GUIDE naombeni mnijuze

Strong Side

Senior Member
Sep 17, 2019
186
302
Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha.

Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi

  • Chuo kizuri kwa hapa Arusha
  • Gharama zake
  • Soko la ajira likoje

Asanteni.
 
Mods mimi kuweka huu uzi kule jukwaa la habari mchanganyiko sio mjinga mjue
 
Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha.

Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi

  • Chuo kizuri kwa hapa Arusha
  • Gharama zake
  • Soko la ajira likoje

Asanteni.
Ada nakumbuka 2008 ilikuwa laki tisa nanusu sijajua mpk sasa inasimama hapohapo.

Chuo nenda National collage of tourism.

Soko ni weww mwenyewe kujiongeza baada ya kuhitimu.
 
Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha.

Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi

  • Chuo kizuri kwa hapa Arusha
  • Gharama zake
  • Soko la ajira likoje

Asanteni.
Kiongozi
Namimi niweke mchango wangu hapa
Tour guide ni Kiongozi/ muongoza wageni; hivyo kabla ya kusoma kozi hii hakikisha lugha (kuongea kiingereza) upo vizuri sana. Lugha zingine (Kichina- Mandarin, kijerumani nk hizo ni kujiongeza ila muhimu sana ni English
Ukisha jua upo vizuri kwenye Lugha na confidence ya kuongea mbele za watu ...unaweza kwenda kuisomea hiyo kozi.
Ajira ni kushindania ila competence hasa ya Lugha ndiyo itakupa kazi zaidi ya cheti chenyewe kwani knowledge wengi wanayo shida ni kujieleza fluently
 
Asante sana kiongozi nimekuelewa vyema kabisa
 
Back
Top Bottom