mob_tech
New Member
- Mar 6, 2022
- 1
- 0
Je umewai kuona mlolongo wa namba zinazo jiludia tena na tena mfano 1111 ,222 au umeskia kwamba kuona 12:12 kwenye saa ni ishara ya bahati . Kuona namba namba zinazojiludia kwenye saa au mahali pengine inamaanisha kwamba ulimwengu unajaribu kukwambia Jambo furani.
Namba ni lugha ya ulimwengu na ulimwengu unazungumza nasi kupitia nambari , kadiri tunavyojifunza kuskiliza ndivyo tunavyowezeshwa kutimiza hatima yetu na kufikia furaha kuu tunayo stahili.
Namba zinazojiludia kitaalamu zinajulikana kama "master number" in numerology na kuziona Mara kwa Mara ni ishara ya kuwamakini kiakili, mwili na roho yako , baazi ya Wana mizimu (spiritualist) wanaziita kama namba za malaika (Angel number) .watu wengi au inaaminika kwamba ukiziona izi namba yakupasa kuomba unachotaka ( make a wish).
Kitu Cha kufahamu apa kila namba inakua inabeba maana yake kwaiyo kila unapoona namba tofaut tofauti zinajiludia jua kuwa zinakuwa zimebeba ujumbe tofauti pia. Mfano ukiona mfululizo wa namba 2 hii inatukumbusha kuwa tupo mahali pazuri kwa wakati unao faa (we are in the right place at the right time) , ukiona 444 inamaanisha uko salama na unaungwa mkono.
Pia kuna mda izi namba zinaweza zikawa zinakupa onyo juu ya jambo furani baya juu yako ambalo uwenda ukawa unapenda kulifanya mfano ukawa unaona 06:06 kila au baada ya kuvuta sigara au kuchepuka ivo jua kuwa apo kuna onyo unapewa juu ya ilo jambo.
MWISHO : kikubwa jitaidi kila unapoona mfululizo wa namba zinajiludia ku make a wish mfano unaeza kuta kila unapo angalia saa kwenye cm yako lazima utakuta 12:12,11:11, 08:08 au 14:14 pamoja na zingine jua kuwa ni wakati wa ku make a wish ( omba unachotaka kutoka moyoni) inaaminika kuwa hii ni alama kuwa malaika wapo pamoja na wewe kukusaidia na kuskiliza jambo unaloomba.
Next time tutaangalia zaidi kwann unaona namba zinazojiludia kwenye saa mfano 17:17 na inamaanisha nn au nini ufanye ukiona Ivo.