Muhasso

Bryson Mbeula

Member
Sep 25, 2011
46
4
MUHASSO ni chama cha wanafunzi wa chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha Muhimbili, wanajamii wenzangu nadhani wote mnakumbuka kuwa chama hiki kilifutwa na utawala wa MUHAS kibabe tu na baadhi viongozi wa serikali ya wanafunzi wana kesi adi sasa! Shule ni tar 10 oct. afu registration, accomodation n.k ni issues ambazo utawala wa MUHAS huwa unasuasua! hebu tuone kama MUHAS bila MUHASSO inawezekana.! Karibuni first year apa MUHIMBILI UNIVERSITY OF HYPERTENSION AND ASSOCIATED STRESSES (MUHAS). Kwa mfumo huu wa elimu tz 2nafukuza jet kwa mguu, maendeleo ni baadae sana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom