Kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi ya kusoma UDSM main kampasi?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6

SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi?

Wenye uzoefu tafadhali ili kama main campus kuna compitition nisitupe 10000 yangu niaply Teofilo Kisanji.
 
Make sure form 4 ulifaulu vizuri..then omba kozi za ualimu au zile ambazo hazina competition.
 
Kwa ushauri makini, chance ya ww kuchaguliwa udsm kwa ufauli huo ni ndogo sana inawezekana ikawa haipo labda kwa kozi zenye competition ndogo ambazo unaweza usizipende.
Hivyo usipotezee mda ku apply, kwa mfumo wa sasa unawapa nafasi watu waliofauli kupata nafasi ambazo hata hawazitaki lakin wanachagua mwisho waende chuo gani. Competition inakutoa nje ya mchezo mapema tu
 
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6

SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi?

Wenye uzoefu tafadhali ili kama main campus kuna compitition nisitupe 10000 yangu niaply Teofilo Kisanji.

Unless uwe kazi tayari ila kama huna utakua unashangaza sana kutaka kusomea ualimu tena.
 
Kwa ushauri makini, chance ya ww kuchaguliwa udsm kwa ufauli huo ni ndogo sana inawezekana ikawa haipo labda kwa kozi zenye competition ndogo ambazo unaweza usizipende.
Hivyo usipotezee mda ku apply, kwa mfumo wa sasa unawapa nafasi watu waliofauli kupata nafasi ambazo hata hawazitaki lakin wanachagua mwisho waende chuo gani. Competition inakutoa nje ya mchezo mapema tu
Nimeapply bachelor of education in educational psychology, na bachelor of education in adult
 
Kwa ushauri makini, chance ya ww kuchaguliwa udsm kwa ufauli huo ni ndogo sana inawezekana ikawa haipo labda kwa kozi zenye competition ndogo ambazo unaweza usizipende.
Hivyo usipotezee mda ku apply, kwa mfumo wa sasa unawapa nafasi watu waliofauli kupata nafasi ambazo hata hawazitaki lakin wanachagua mwisho waende chuo gani. Competition inakutoa nje ya mchezo mapema tu
We kaka vp unazan gpa ya 3.6 chamtoto
 
Back
Top Bottom