Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii...
1 Reactions
3 Replies
870 Views
Habari wana JF, Nina shida kidogo hapa naomba msaada. Mimi ni muuguzi ngazi ya Diploma sasa mwaka jana nilijiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuchukua Bachelor of science in Nursing...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu, Wana jamvi habar za asubuhi, Kama kichwa Cha habar kinavyosema wapi naweza kupata vitabu vya shule ya msingi vya darasa la nne Na darasa la Saba kwa maana ya madarasa ya mitihani ya Taifa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Jamani naomba msaada mbinu za kufundishia somo la Kiingereza shule za sekondari hasa za kata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunajua kule kenya ukihitimu form 4 unaenda moja kwa moja chuo kikuu. Je, kwa mwanafunzi aliyesomea kenya form four na anataka aje asome hapa tz anaweza kwenda vyuo vikuu vya hapa? Kwa wazoefu...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Habarini na poleni kwa majukumu, Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende...
0 Reactions
5 Replies
850 Views
Wakuu,Kuna kijana anaomba ushauri wenu juu ya kozi gani akasome kati ya hizi zifuatazo kwa upande wa kuweza kujiajiri au hata kuajiriwa. Amemaliza kidato cha 6 mwaka jana ila hakufanikiwa kwenda...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Nina degree ya procurement and logistics management. Nataka kufanya mitihani ya bodi ambapo kwenye taarifa iliyopo kwenye website yao wanasema mitihani hufanyika may na november. Nilitaka kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma...
0 Reactions
4 Replies
550 Views
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Habari za Muda huu, Naomba kufahamu hatua za kufuata ku postpone masomo ili nisome mwakani... Ni hayo tu
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Nampeleka International school akapate vitu vikuu vitatu, Netwoking Exposure Confidence Hivi kule vinapatikana kwa wingi sana na kule hawafundishwi kutafuta wa kwanza na wa mwisho. Mtoto Mfano...
21 Reactions
52 Replies
9K Views
  • Closed
Habari, wakubwa naomba ushauri wa kozi ipi nikasome, hapa nimemalza Diploma ya Mechatronics engineering. Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma level ya degree
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums, Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini. Na kipi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
UTANGULIZI Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uaminifu wake katika nchi ya Tanzania, pia namshukuru Mungu kwa ajili ya kuniwezesha kuandika chapisho hili ambalo naamini litakuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma 2017, sasa nilikua nataka kupata Award Verification Number ili niweze kuendelea na elimu ya juu. vitu gani napaswa kuwa navyo ili nipate...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo: 0716600198 au 0758120535. Masomo ni kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom