Wapi naweza kupata vitabu vya shule ya msingi vile jipime kwa kila somo

kj75

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
491
590
Ndugu,

Wana jamvi habar za asubuhi,

Kama kichwa Cha habar kinavyosema wapi naweza kupata vitabu vya shule ya msingi vya darasa la nne Na darasa la Saba kwa maana ya madarasa ya mitihani ya Taifa nipate vitabu vyake zamani tulikuwa tunatumia vinaitwa jipime yaani unakuta mitihani kuanzia miaka Kumi ya hivi karibuni Ipo,

Ilitusaidia Sana je Sasa hivi bado vipo au kutokana Na kubadilika badilika kwa mitaala Sasa hivi havipo wajuzi naombeni ABC
 
Back
Top Bottom