Msaada: Achague kozi gani kati ya hizi zifuatazo?

the bidhaa

JF-Expert Member
Apr 4, 2022
257
702
Wakuu,Kuna kijana anaomba ushauri wenu juu ya kozi gani akasome kati ya hizi zifuatazo kwa upande wa kuweza kujiajiri au hata kuajiriwa.

Amemaliza kidato cha 6 mwaka jana ila hakufanikiwa kwenda chuo kutokana na changamoto kadhaa.
Alipata division 2 ya 11 kwenye mchepuo wa HGK,,,KOZI ZENYEWE NI;

1; DIPLOMA IN LAND MANAGEMENT, VALUATION AND REGISTRATION (Ardhi Tabora).

2; BACHELOR DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT (NIT).

3; BACHELOR DEGREE IN ROAD AND RAILWAY TRANSPORT LOGISTICS MANAGEMENT (NIT).

4; BACHELOR DEGREE IN FREIGHT CLEARING AND FORWARDING MANAGEMENT (NIT).

Wakuu ushauri wenu ni muhimu sanajuu ya mdogo wenu huyu,Asanteni na karibu sana kwa ushauri wenu
 
Hapo Hamna course yakujiajiri Ila namshauri aende namba 2 au 3 is the best
 
Wakuu,Kuna kijana anaomba ushauri wenu juu ya kozi gani akasome kati ya hizi zifuatazo kwa upande wa kuweza kujiajiri au hata kuajiriwa.
Amemaliza kidato cha 6 mwaka jana ila hakufanikiwa kwenda chuo kutokana na changamoto kadhaa.
Alipata division 2 ya 11 kwenye mchepuo wa HGK,,,KOZI ZENYEWE NI;

1; DIPLOMA IN LAND MANAGEMENT, VALUATION AND REGISTRATION (Ardhi Tabora).

2; BACHELOR DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT (NIT).

3; BACHELOR DEGREE IN ROAD AND RAILWAY TRANSPORT LOGISTICS MANAGEMENT (NIT).

4; BACHELOR DEGREE IN FREIGHT CLEARING AND FORWARDING MANAGEMENT (NIT).

Wakuu ushauri wenu ni muhimu sanajuu ya mdogo wenu huyu,Asanteni na karibu sana kwa ushauri wenu

Kwa nini asiende tu moja kwa moja kusoma degree ya land management and valuation badala yake amechagua diploma?
 
Akasomee Plumbing au Ufundi Magari awe mbobezi utakuja kunishukuru!

Hayo makozi mengine yameshakuwa saturated na hayakuachi na skills zozote

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Namba 2 iko poa sana japo hawezi kujiajir

Akafanye shipping,utanishukuru baadae
 
Kozi zote hizo za kuajiriwa halafu sio pontetial kwasasa
Duuuh sio potential?,,sasa mkuu unamshauri dogo asome kozi gani kati ya hizo au ambayo haipo hapo na inaweza kuwa na faida kwake?
 
Back
Top Bottom