Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka...
Msaada,kijana anataka kujisajili huku HPRS ili atume maomba ya kazi,sasa sehemu hii ya mfumo wao haitaki kurespond(hiyo drop down box hairespond chochote) hivyo hawezi kuendelea na usajili,shida...
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha...
Salam Wanjukwaa,
UTANGULIZI
Nchini Tanzania katika maendeleo ya kitaalum ni pamoja na kupitia shule za secondary. Kuna kafeelings flani kazuri sana unapomaliza primary na kujiunga na secondary...
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu...
Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo...
Kuna Binti amemaliza form four 2025 lakini matokeo yake ni division four Sasa anataka kujiunga na VETA lakini hajui ni kozi gani yakwenda kusoma
Ndg wadau naomba msaada wamawazo
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki...
Habari ndugu zangu wanaJf
Natumaini mko salama na wenye afya njema. Ninaomba msaada wenu kwa jambo muhimu. Natafuta Kitabu cha Enock kilichoandikwa kwa Kiswahili. Ikiwa kuna yeyote kati yenu...
Nina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance..
Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri...
Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana...
Naomba kuelimishwa hapa wakuu, Nimepiga kwenye guideline kuna baadhi ya masters zinatolewa na vigezo vinataka mtu mwenye degree ama Postgraduate diploma.
Wakati huo huo kuna kozi ambazo...
Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe???
Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi...
Kuna mambo mengine yanayoshangaza sana. Mwaka jana nilifika katika Shule ya Sekondari-Ruvu Station ambayo ipo Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumuwakilisha kaka yangu kwenye kikao cha wazazi. Nilibaki...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.