Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe???
Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi...
Kuna mambo mengine yanayoshangaza sana. Mwaka jana nilifika katika Shule ya Sekondari-Ruvu Station ambayo ipo Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumuwakilisha kaka yangu kwenye kikao cha wazazi. Nilibaki...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu...
Habari za leo jf-members
kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17
IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS...
Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana.
Nia na madhumuni ya uzi...
Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango.
Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba...
Huku kwetu kuna Shule ya Serikali inayoitwa Shule ya Msingi Tambani, ipo Mbande Mwisho, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani ina changamoto ya uhaba wa madarasa na madawati na pia miundombinu yake...
Nilimaliza kidato cha nne kwa ufaulu mbaya nikiwa na D3 tu nyingine zote F miaka mingi kidogo iliyopita, nikajiendeleza certificate na sasa nina diploma nikiwa na ufaulu wa diploma GPA ya 3.5...
Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority)
Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education)
Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health...
CapCut ni nini?
CapCut ni programu ya kuhariri video (video editor) inayotumiwa sana duniani kutengeneza video za:
TikTok
YouTube
Instagram Reels
Matangazo ya biashara
Video za elimu
Ni maarufu...
Jamani kama nilivyoeleza huko juu nahitaji kampani ya raia mmoja ambaye yuko Dar es Salaam na ana mpango wa hiyo project kwa msimu 2026_2027 mchepuo wa EGM tuu ...... I NEED A COMPANY
Elimu kwa muda mrefu imekuwa ikipimwa kwa vigezo finyu vinavyojikita zaidi kwenye matokeo ya mitihani kuliko mchango wake halisi katika maendeleo ya mtu na taifa. Katika mjadala wa kila mwaka wa...
Chuo cha Uhasibu Arusha (Institute of Accountancy Arusha - IAA) kuna malalamiko mengi kutoka Kwa Wanafunzi wa Program za Masters lakini hayafanyiwi kazi.
Shida kubwa ni kukosa uhakika wa...
Serikali Ipige Marufuku Shule za Serikali za Kutwa Kugeuzwa Mabweni ya Kambi za Mitihani,
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la shule za serikali za kutwa kugeuzwa kuwa kama...
Samahani wanajukwaa,
Ninaomba kufahamishwa juu ya kozi tajwa hapo juu inayotolewa na chuo cha Muhimbili katika hospitali ya KCMC chini ya RDTC, hususani unatambulikaje baada ya kuhitimu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.