Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

  • Featured
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au...
18 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari wanajamii Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Wadau mimi ni mwanafunzi niliyemaliza form4 na kubahatisha kujiunga na kidato cha tano kwa mchepuo wa PCM kwa alama ya BAA. Shule niliyochaguliwa ni mpya ukizingatia kama mnavyojua mziki wa PCM...
2 Reactions
32 Replies
453 Views
Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Hello, Mimi nimechaguliwa HGLi na nilitaka HGE. Math nina C so nilitaka kubadili kabla sijafika shule Naombeni kujua kama kuna uwezekano wa kubadili tahasusi mtandaoni.
1 Reactions
6 Replies
185 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
5 Reactions
4 Replies
302 Views
Anonymous
KERO Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya 1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
Waombaji wa kozi za afya ngazi ya diploma kupitia NACTVET wanakumbana na changamoto kubwa ya mtandao wa maombi unaojulikana kama CAS kushindwa kufunguka. Kwa sasa ni siku ya tano mfululizo mfumo...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Anonymous
Kwa niaba ya wanafunzi tuliohitimu mwaka 2025 katika Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS), tunaomba kupaza sauti kuhusu changamoto kubwa tunayoipata ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Tangu...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au...
0 Reactions
6 Replies
150 Views
Anonymous
Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na...
26 Reactions
68 Replies
13K Views
Anonymous
Chuo cha afya cha paradigms hakitaki kuwaacha wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET hata kama hawadaiwi msajili wao anaitwa SHABANI MRINGO ni mtoto wa mkurugenzi anajiona ni mungu...
2 Reactions
4 Replies
169 Views
Anonymous
Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni. Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka...
3 Reactions
4 Replies
104 Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi; 1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na...
2 Reactions
22 Replies
558 Views
Anonymous
Nina binti anayesoma Kidato cha Tatu katika Shule ya Bright Future Secondary School, iliyoko Msongola. Awali, shule hii ilikuwa chaguo letu bora kabisa—ndoto yangu na ya mwanangu ilikuwa asome...
1 Reactions
18 Replies
288 Views
  • Redirect
ELIMU: Elimu ya Msingi NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana. KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kero yangu ni Shule za Private kuhamisha wanafunzi ambao wanaona hawatapata division one form 4, wanawaandikisha wafanye mtihani Shule zingine bila kuwashirikisha wazazi. Kwa kweli inakera sana...
2 Reactions
1 Replies
235 Views
Anonymous
Baadhi ya shule za sekondari za serikali katika kipindi hiki cha likizo, zipo ambazo zinaendelea kuwalazimisha wanafunzi kuhudhuria masomo bila utaratibu unaoeleweka. Mfano, Shule ya Sekondari...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Back
Top Bottom