Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wanajukwaa. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 na nina degree ya sayansi na elimu (education). Tangu nimemaliza elimu hii miaka 8 iliyopita nimefanya kazi kadhaa hapa nchini kama...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi... Mimi ni mtumishi wa umma nina mpango wa kwenda kusoma masters ya....either... Education Physical education Social Works Au nyingine yoyote Shida yangu sijui nianzie wapi... Nataman...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wadau wa elimu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ninayotumia mpaka sasa. Nianze na kadhia yangu niliyoipata heslb, mwaka jana baada ya SSH kuamua kuondoa baadhi ya makato gandamizi...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Habari gani members wa JF? Kama una swali lolote kuhusu Hifadhi zetu za taifa, pia maswali kuhusu wanyama pori wa hapa EAST AFRICA(mammals,reptiles,birds,etc) na baadhi ya maswala yanayohusu...
19 Reactions
1K Replies
192K Views
Ukiangalia kwa undani graduates wa matokeo yenye GPA kuanzia 3.8 sio wengi sana. Serikali inaweza kuwa accommodate vizuri kabisa. Serikali ianzishe mfumo wa internship kwa hao graduates kwa...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Thinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi? Changamoto za vyuo nilivyovitaja na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiongoz anaingia madarakani. Anaanza. 1. Kufuta ada. 2. Kuongeza madarasa. 3. Kuondoa mitihani. 4. Kuweka kitu kipya. 5. Ameona inafaa, what,why! 6. Kupaka wanja. 7. Kuvaa pensi. 8. Kupiga...
1 Reactions
0 Replies
444 Views
Tusidharau wala kubeza au kuona wameonewa waliokutwa na hatia ya wizi wa mitihani! Mtoto darasa la saba unamwibia mtihani Akifika form 2 anaiba tena mtihani Akifika form 4 anaiba tena...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Udanganyifu kwy mitihani ya darasa la saba 2022 unampunguzia sifa kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Athumani Amasi; za kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo adhimu na kuibua matamanio ya enzi za Katibu...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar)...
14 Reactions
152 Replies
14K Views
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara elimu Sekondari aje Mwanza jiji nije Dar .
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Habari wana JF Kuna mtoto wa dada yangu anauwezo mkubwa sana ila amesoma katika mazingira magumu sana ya kijijini lakini hajafanikiwa kufaulu vizuri. Huku tukiendelea kusubiri selection...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za jioni wandugu? Nina kijana amesoma kuanzia nursery hadi darasa la saba English medium schools. Matokeo yake masomo yote amepata alama A. Amechaguliwa kwenda kusoma shule ya sekondari...
0 Reactions
3 Replies
728 Views
Mustakabali wa shule zilizofutiwa ni upi Msaada kwa mwenye taarifa za BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA)
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu hizi degree za online amity university wakishirikiana na UDSM zinaaminika? Au ndo ile umejipinda kusoma af unaambiwa chuo hakitambuliwi
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni ushauri jamani kwenye hili swala mimi ni mwanafunzi ninae tarajia kwenda kuanza masomo yangu ya chuo mwaka wa kwanza katika chuo cha mt Agustino (SAUT) MWANZA ni mnufaika wa mkopo kwa...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, tunapoelekea mwisho wa mwaka nimejipanga mwaka ujao nijaribu bahati yangu nje ya nchi, nahitaji kujua namna gani nitapata full funded scholarship hasa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…