Thinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi?
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na sifa yake kwenye soko la ajira,kwa mwaajiliwa akisomea hiyo course unaweza kumfanya aje kua nani?
Nawasilisha kwenu thinkers.
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na sifa yake kwenye soko la ajira,kwa mwaajiliwa akisomea hiyo course unaweza kumfanya aje kua nani?
Nawasilisha kwenu thinkers.