Nimemshauri akasomee ulozi na uchawi (vodoo) Afrika Magharibi

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
It serious unafikiri mimi ningemshauri ninj? Zaidi ya kumwambia kwamba akasomee ulozi na uchawi Afrika magharibi kwa sababu kwa alichofaulu ni kiwango kizuri kwa hiyo fani na ama kwa hakika vodoo inalipa sana kama ukichanga karate zako una nagasi kubwa sana ya kutoboa maisha kwahiyo hapa namtafutia visa kwa moja ya nchi ya Afrika magharibi akasomee voodoo tu.

Kipindi cha uchaguzi ndicho yeye cha kupiga pesa wanasiasa atawapata kwa uwingi sana ama hakika yeye ni msukuma wa maganzo.
 
Upiwaza nn kuandika Kwa MFUMO HUU
 
Back
Top Bottom