Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau naomba mnisaidie kuhusu ni lini mwisho wa kulipia mitihani ya board utakaofanyika mwezi wa tano. Plz nisaidie make mm niko mkoa na nimejaribu web ya board sijaona.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika Serikali ya Wanafuzi wa UDSM maarufu kama DARUSO.Waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ikiwa imepita takribani wiki moja, tangu nimeripoti hazina ya taifa kukauka kupelekea kukatwa pensheni za wastaafu serikali, sasa imegeukia wanafunzi vyuo vikuu nchini. Akiongea na wanafunzi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wakuu wanajf kwa wale wasomi,wadau mbalimbali wa masuala ya elimu ningeomba muipitie hili andiko halafu tujadili bila kuweka ushabiki wala matusi. The merits and demerits of private and public...
7 Reactions
36 Replies
6K Views
Kijana anataka kuwa Mhasibu; amemaliza kidato cha 4 mwaka huu, Div 4. Ana 'D' 5 ikiwepo ya Maths na English. Je chuo gani hapa Dar mnachomshauri ili hatimaye atimize ndoto zake? Tunaomba ushauri...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa nyakati tofauti rafiki yangu mmoja amekuwa anajaribu kutembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo lakini inaonekana pages sijui zimenyofolewa au ndo maintenance...tuweke basi hata ka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya Mwaka wa nne Mlimani 1. Kwa shahada ya kwanza pale Mlimani gredi zenyewe zimekaa hivi (kama hazijabadilika) A: 75-100, B+: 70-74, B: 60-69, C: 50-59, D: 45-49 na E: 0-44 2. Gredi...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Wakuu leo napenda kutumia jukwaa hili kuomba mawasiliano na watu waliosoma shule ya sekondari ya Popatlal iliyoko Tanga. Kwa atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya simu au barua pepe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DOWNLOAD: http://www.4shared.com/office/ORCOPBlY/Strategic_Marketing_Management.html
2 Reactions
2 Replies
290 Views
waliosoma kibaha mpoo? hasa wale form 6 leavers wa 2011! hata na wengne pia
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Matokeo yametoka click hapa kupata Http//:196.44.162.33/necta2011/olevel.htm
2 Reactions
4 Replies
18K Views
wadau na dogo amefaulu comb CBG naombeni ushauri shule zip za serikali nzuri na je private
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hohhohoh........tyityityityi..............:lol: madogo inasemekana kuwa mmefeli kuluiko miaka yote du! Nooomaaaaa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasomi naomba msaada hapa. Nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary, nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
mtazamo wangu tuu wakuu. kitendo cha wazazi na wanafunzi wa shule ya ikwiriri kuandamana kushinikiza mkuu wa shule afukuzwe kazi kwani kiwango cha ufaulu kimeshuka saana shuleni hapo...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
hua najiuliza ni kwanini maeneo mengine ni kuna joto sana mfano DAR n mengine baridi sana kama artic kule uingereza...na nini kina sababisha utofauti huu?na ni kwanini eneo moja lina experience...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wote waliomaliza form six wanaotaka kwenda kupiga DEGREE au kwa wakuu wanaotaka Nondoz za Masters,chuo hicho kipo poa sana na kinatoa fedha ya kutosha(Almost utasoma bure)..na kwa sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada ,jinsi ya kupata material masomo ya NBAA - attech 1. Na ndugu yangu yuko shinyanga, kanitaarifu ni msaidie sababu nipo dar. Mwongozo wenu wakuu.
0 Reactions
0 Replies
44K Views
Wasuaso wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya mitihani ya kumaliza semester inayoanza jumatatu tar 20 feb ni matumaini yetu wote kwamba mungu atatenda kadri ya uwezo wake najua ni kipindi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…