A Tale of Two Universities By Karim F. Hirji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A Tale of Two Universities By Karim F. Hirji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by meningitis, Feb 19, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wakuu wanajf kwa wale wasomi,wadau mbalimbali wa masuala ya elimu ningeomba muipitie hili andiko halafu tujadili bila kuweka ushabiki wala matusi.
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Stori ndefu hadi kiuno kinauma. Kwa jinsi niijuavyo JF, sijui kama utapata wachangiaji.
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimeisoma mwanzo hadi mwisho..ni fair account of his experience.
  Binafsi nadhani changamoto katika vyuo binafsi na vya serikali kwa sehemu kubwa zinafanana.
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ndio maana nikasema nahitaji wasomi na wadau wa elimu.naomba urudi kwenye chitchat tafadhali.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwangu mimi nilivyomuelewa ni kwamba wimbi la private instituions linatishia maisha ya public instituitions,nadhani anjaribu kukumbusha kwamba pamoja na ukweli kuwa hatuwezi kuepuka vyuo au shule binafsi lakini tuna wajibu wa kuviboresha vyuo vya public ili viwe muongozo katika sekta yetu ya elimu.kwa sasa ili uonekane unasoma basi itabidi uwende st marrys na sio ilboru huku tukijua wazi mitaala iliyoko st marrys haikidhi viwango au haitatoa wataalamu wenye uzalendo au weledi wa kushughulikia matatizo ya kitanzania kwa njia za kitanzania.
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Asante
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuna organisational and structural challenges kwene vyuo binafsi vingi..whereas the public institutions bank their many years experience in organising their curricula and provision of education(to their advantage),the private institutions in Tanzania are at their infancy stage and seem to struggle at how best to go about it.That,coupled with financial hurdles and shortage of requisite experts makes it even harder for them.

  Moreover,private institutions mean business.so they‘re to strike a balance between strict academic set up and business..hapo ndo unakuta vyuo vinatolerate less serious attitude ya wanafunzi sometimes!
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Well said Prof...:A S-coffee:
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kuna suala moja ambalo ningependa hata watunga sera wetu wanatakiwa walizingatie.hili suala la privitsation being an answer to every question.yaani tunaamini kila kitu tumeshindwa na solution ni kubinafsisha,hii ni hatari kwa taifa letu la baadae.ningependa kuona vyuo mama kama UDSM,MUCHS,MZUMBE,SOKOINE... vikishamiri na kuongoza hivi vyuo vinavyoanzishwa kibiashara zaidi.ningependa kuona shule mama kama ilboru,mzumbe,msalato,tabora zikiendelea kuwa shule bora huku feza boys et al zikichukua miongozo kutoka huku.kushamiri kwa public institutions ni ndoto iwapo serikali haitaondoa notion kwamba ubinafsishaji ndio njia pekee ya kufanikiwa.tumeaminishwa hivi ni kosa lakini tunaweza kulirekebisha.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ukweli mtupu.
   
 11. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Well said ndugu,kila uchao taasisi za elimu za serikali zinapoteza mashiko,they have very little to write home about.
  Whereas in contrast,vilipaswa kuwa our national pride..

  Vinatakiwa kuwezeshwa ili vijenge a sense of national pride..viweke precedent ambayo hata private wanaweza kufollow..
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You are wrong. Hii mindset ya Watanzania inatupeleka pabaya. Leo bungeni na serikalini kumejaa ma Dr. Dr. ambao digrii zao ni za kufoji. Watoto shuleni wanatafuta short cuts za kuibiwa mitihani ili wafuzu bila kusoma. At this level tutakuwa na taifa la matapeli wanaobangaiza kama wasomi, madaktari ambao hawakufuata kanuni za masomo yao, halafu hapo hapo tunalalamika kuwa Wakenya na Waganda wanatuzidi katika masomo. Watanzania lazima tuchangamkie elimu, tuwe na moyo wa kujituma na tuache haya mambo ya kutafuta short cuts. Hakuna short cuts in life.
   
 13. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Changamoto nzuri, aksante!
   
 14. m

  msafi Senior Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kuna ukweli katika yale aliyoandika prof karim, binafsi namkubali sana huyu professa maana hata ufundishaji wake anakufundisha uelewe na si kukalili kama ambavyo tumezoea kwa walimu wetu hapa tanzania. nakumbuka test yake ya kwanza wakti nafanya uzamili muchs, ilikuwa ni open book, lakini watu walipata negative marks, na tulipomwelewa anachotaka ni kuelewa na si kukariri, wanafunzi wengi tulimkubali. Ni hazina kuu sana kwa kuwa na wataalamu kama hawa maana hata yale aliyonifundisha yamekuwa msaada sana sana, tofauti na nilivyofundihswa na baadhi ya walimu wakati wa undergraduate.
  Lakni pia kuna changamoto kati ya vyuo vya priv na pub, maana public ili vijiendeshe vinahitaji fedha na sehemu nyingine ni tuition fee za wanafunzi hivyo mwanafunzi ananyenyekewa, ndio maana kipindi kile, mwalimu wa muchs wanafunzi wanamwona mnoko kwa kufelisha wanafunzi lakini imtu au kairuki wanamsifia kwa ufundishaji na kutokusup au disco.
   
 15. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  Private universities are run on almost exclusively commercial considerations, and the profit motive is bound to affect the quality of higher education in Tanzania. Glamorous names such as Agha Khan and the like, may mesmerise parents and prospective students alike for a while, but are no indication either way, when it comes to the quality of education. The question is:

  How do we turn around the deteriorating higher education system?


  One of the best ways to address this problem is by establishing a strong and a clear-headed 'Higher Education Regulatory Agency' that would ensure high quality of content and national orientation of the higher education system.

  My father used to tell me of an old joke about a well -known politician from Zanzibar who was then a Minister for education. During the 1960s, he visited many schools in Britain and upon his return to Tanzania, he kept on telling people of how impressed he was by the quality of education in Britain because even small children could speak English! Unfortunately, this has become a serious national perception in contemporary Tanzania. Today, the quality of education is being perceived to be synonymous with the ability to speak English. How pathetic!!!!
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  Profesa ....ameeleweka na Amendelea kugufumbua macho....that ...MuChs in such of the fact that it is underfunded ,Ill equipped ..it stand to produce graduates who can compete with others elsewhere in Europe....,the students there if well managed are attentive, serious...and respectful unlike those at AKU....who had / have everything within the agreed international standard ..but luck very important academic aspect...

  I think ..this article worth eye of TCU ....to see how they can standardize ...university education...,I guess some of the students in private universities ...mostly from well to do families...,definitely those are the one who can afford a tuition fee at Agakhan...seem to be obsessed by richness...,unlike those in college like Muchs ..who regardless there background....they have some sense in the head....
   
 17. O

  Ogah JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Asante sana Prof Hirji.....maelezo mazuri kuhusu observations zako............ningependa sana kupata maoni ya Mwl/Prof Augustine Moshi (huyu kapotea sana hapa JF) kuhusu hii observation ya Prof mwenzake..........

  Pili..........Watanzania tulio wengi ni wavivu kusoma..........mlio na responsibility ya vyuo vyetu nafahamu mnafahamu kw aundani sana hayo yote yaliyoelezwa na Prof Hirji..........someni maandiko yake muone nijinsi gani ambavyo hatuko serious na maendeleo ya elimu yetu............vyuo vyetu i.e. public vinahitaji nguvu zaidi ya kuviwezesha ili viende na wakati na kukidhi mahitaji ya mitaala ya masomo mbali mbali..........solution sio tu kuongeza idadi ya wanafunzi......filosofia za utawala wa Prof Mbwete ziwekwe kando....tuimarishe mazingira (walimu, vifaa, madarasa, maktaba) ya elimu ya vyuo vikuu vyetu kwanza..........

  once again asante sana Prof Hirji.............
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu this is a growth pattern w have to endure, the only challenge ni ile governance ya nchi, if we were strong then hizi colleges zingepata proper quality assurance, as for now, kila kitu ni muzabwa-muzabwa

  if we dont change now, we gonna have a generation of junks in a way

  Thanks prof ila sometimes nadhani your stories tend to look down at others too often and i dont know why now and why that way, coz some of your students of the nineties had some issues as well
   
 19. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 432
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mchambuzi,

  Yes there are some commercial considerations. However, I have seen some examples which indicate that if a university produced quality students, the impact of those students will benefit their university enormously in a long run. For example, they will give their university a good name or reputable brand. In addition the alumni will help the school by directly applying their expertise, or by proving financial contributions.

  The problem in Tanzania is there’s no connection between the alumni communities and their former universities. When somebody finishes school, he’s done for good. This is totally different in the US or any other developed countries we try to emulate their form of private institutions.

  Now to improve the quality of education, the country can establish the higher education regulatory as you suggested above. Nonetheless, in practice the agency won’t differ from the National Examination Council of Tanzania. Instead of improving the standard of education, it will become corrupt because students who don’t want to take their work seriously in classrooms will try anything to qualify.
  The best approach, I believe, is to start peer reviews, record keeping, professional licensing and exams, background checks, and rewarding people accordingly.
   
 20. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 432
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Another point, some of early professors and instructors made life very harder for university students. They made universities elite place where very few could survival. For example, I know a guy who didn't make the second year at MUCHS: however, when he went to Europe, he became a star student.

  Yes there's a need to be to be rigorously. Yes there's a need to have high standards of education, but professors should fair and know that the country lags behind and in need of professionals.
   
Loading...