Website ya UDSM kwikwi ama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya UDSM kwikwi ama?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpogoro, Feb 21, 2012.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Document1.jpg Kwa nyakati tofauti rafiki yangu mmoja amekuwa anajaribu kutembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo lakini inaonekana pages sijui zimenyofolewa au ndo maintenance...tuweke basi hata ka taarifa kanachoeleweka kwenye tovuti hasa inapokuwa chini!Angalia hiyo screenshot ya tovuti hapo juu!
   
 2. N

  NIMIMI Senior Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo umenena ndugu! Hawana updates ama? Wanazingua chai tupu!
   
 3. m

  mmteule JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Mkuuu hata mimi nimeshatoka jasho...... Duh! Ila nawaaminia after tym tuchek inaweza kuwa poa. Otherwise wanaboa... Inabid waweke warning kama wanafanya maintenance!! Waache kuchukulia vitu poa udsm is international so things like this they undermine it.... Shame of u it guys!
   
Loading...