Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Napenda kuuliza hivyo wanajamvi misaidie kama anaweza Natanguliza Ansate kwa wote...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wane jamii forum naomba mnisaidie kuna mitaala gani ambayo imeshabadilishwa ya somo la hisabati zaidi ya ile ya mwaka 1995 na 2005,maana watu wengi wamekuwa wanapotosha jamii kwa kueleza jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fasihi ni sanaa lakini si kila sanaa ni fasihi..NIPENI SABABU TANO
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkwawa ni chuo cha Education,na Walimu ni Wavumilivu hata wasipopewa mishahara mwaka mzima.Ila kwa hili walimu wameshindwa kukaa kimya,Niliwa napita naona Matangazo yamebandikwa kua kesho watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimefanya applications kibao za kusoma masters abroad , ila nyingi wanahitaji niwe nimefanya english test (IGCSE, IELTS, INTO, TOEFL, etc) bt na me cjawahi fanya hiyo kitu, naulizia wapi ninaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wanafunzi wapo kwenye maandalizi ya mtihani wa mwisho kumaliza kidato cha sita,mwalimu unawarudisha nyumbani kisa hawakuja na mahindi au maharage shule,vipi hii sera ni ya serekali au ni dili la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimevumilia nimechoka bora kusema ukweli; hii nchi kuna uzembe,ujinga na majina yanayofanania.. 1. unamaliza chuo unagraduate hata trancripts bado..hiyo haitoshi chet had 1 yr ipite...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
wadau embu tuchangie hii hoja kwa umakin... Kuna taarifa zimesambazwa vyuon kutoka TCU kuwa wanafunzi wanaosoma Diploma hawatoruhusiwa kuunganisha Degree mpaka upite mwaka mmoja wakiwa kitaan...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Pana matangazo mengi sasa ya vyuo vya Ulaya na USA vinatoa masters degree mbili kwa wakato mmoja Dual Master's Degree/Double Master Degree na anyaehitu kupewa title ya Dr,.,.,mfano Doctor of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na hii hali ya kutoa tenda kwa wachina wakati kuna wataalam kibao kutoka COET-UDSM....kuna ujenzi wa student centre unaendelea hapa chuo wamepewa Wachina, kuzungusha uzio wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanaJF,nina swali langu na ningependa sana kupata maoni yenu.naomba uchukulie kama ingekuwa wewe ungetumia njia gani.tuseme unataka kutoa ufadhili kwa watoto wasio na uwezo wa kukidhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications; 1. Diploma in Electronic Engineering. 2. Bachelar of Commerce in...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba msaada wenu on the role of Russia to the contemporaly world.hichi kitu chanipa tabu,naombeni msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Nimekuwa nikitembelea baraza la elimu(MOE) na kukutana na matangazo ya scholarships halafu mwishoni wanasema tangazo hili pia linapatikana United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kama kuna wanafunzi wa Vyuo vifuatavyo anayetoka Mkoa wa SINGIDA naomba anitumie jina lake kupitia 0763305605,kuna jambo muhimu la kujulishana... 1.University of Dar es Salaam...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Worlds Last Chance" The Modern Day Stumbling Block – By Craig "Worlds Last Chance" The Modern Day Stumbling Block Isaiah 8:20 "To the law and to the testimony: if they speak...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FUATA HII LINK!:tazama picha: Wadau scholarship hizi za JAPANI. Week end Njema!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama kuna wanafunzi wa Vyuo vifuatavyo anayetoka Mkoa wa SINGIDA naomba tuwasiliane/anitumie jina lake kupitia 0763305605,kuna jambo muhimu la kujulishana... 1.University of Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. T-Think about the order of the natural world 2. E- Explore system of objectives and organism for themselves 3. A- Ask simple questions about natural phenomenon that can lead to investigation...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…