Wanafunzi karatu sec school watimuliwa kwa kushindwa kulipa ada na kwenda mahindi,maharagwe shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi karatu sec school watimuliwa kwa kushindwa kulipa ada na kwenda mahindi,maharagwe shule

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by massai, Apr 28, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wanafunzi wapo kwenye maandalizi ya mtihani wa mwisho kumaliza kidato cha sita,mwalimu unawarudisha nyumbani kisa hawakuja na mahindi au maharage shule,vipi hii sera ni ya serekali au ni dili la walimu?inasikitisha sana kama elimu ya bongo ndivyo inavyopatikana.nimekutana na mwanafunzi mmoja akiniomba lifti ya kumfikisha arusha mjini.inasikitisha sana kama mambo yenyewe ndio dili dili dili,mpaka kwenye urithi pekee ulibaki,kwani wanyama na madini yote mmemaliza mpaka ardhi sasahata elimu?
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Mimi nilisoma karatu enzi zb mwalimu mbise tulikuwa na mashamba na bustani nyingi sana tulifuga hadi kitimoto chakula hakikukosekana. hawa waalimu wameshindwa kuisimamia shule kufikia kubeba chakula. aibu.
   
Loading...