Wanafunzi SINGIDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi SINGIDA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rabi wa Leo, Apr 28, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani kama kuna wanafunzi wa
  Vyuo vifuatavyo anayetoka Mkoa
  wa SINGIDA naomba anitumie jina
  lake kupitia 0763305605,kuna
  jambo muhimu la kujulishana...
  1.University of Dar es Salaam
  (UDSM),DUCE,MUCE,COET n.k..
  2.Ardhi University (ARU)
  3.IFM
  4.Dar es salaam Institute of
  Technology(D.I.T)
  5.St.Joseph University dsm campus
  6.MUHAS
  7.Mzumbe University(dsm branch)
  8.KIU(dsm branch)..
  Na vyuo vingine VYOTE vilivyoko
  mkoa wa Dar Es Salaam
  NAOMBA SANA SANA SANA
  TUWASILIANE..
  UKIPATA TAARIFA HII,MUARIFU NA
  MWINGINE..
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kama ni mchakato wa M4C....ngoja nimpigie Kenny....yupo UD na anatoka Singida.....zaidi ya hapo....soree..
   
 3. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  M4C?ungeelaborate kidogo hapo...
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Movement for change....
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Haijui hata M4C sijui anafanya nini chuo!
   
 6. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hahaha!
  ila huu ni utapeli pia!
  jamii ya kisomi haiendi kimafumbomafumbo!
  kama una jambo muhimu liweke hapa tulijadili!
  kwa style yako hii ina maana jf haina umuhimu kuwepo!
  wewe wa wapi khaa!
   
 7. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni zaidi ya change kaka,yapo mengi tunayotaka kubadilishana.,naomba unitumia namba yake nimtafute au umtumie yangu anitafute...Ntakua mwingi wa shukrani kwa hilo..
   
 8. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haina maana hiyo kaka.,co jambo la kujadili bali linakuja kama taarifa na tangazo,bt yale yatakayokuwa na umuhimu kujadili tunaweza kuyaweka mezani,ondoa shaka.
   
 9. Holili

  Holili Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa nini kwa walio Dar peke yake?? Mie niko Moshi. Tunaweza kuwasiliana, maana wiki ijayo nitakuwa Dar kwa siku tano.
   
 10. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Co dsm peke yake actually,tumefanya hv kwa kuanzia tu,bt tutawahusisha wote nchi nzima..Haswaaa...naomba pia unitafute kupitia 0763305605..Nitafurah kuwasiliana nawe..
   
 11. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  ahsante!
   
Loading...