HGE nanaweza kusomea GEOLOGY

Ndio unaweza ila hakikisha hiyo h kwenye hge inabadilika kuwa p nadhani umenielewa...maana geology ni science wakati hiyo yako ni arts.
 
no.....mdogo wangu haiwezekani lazima uwe na physics na mathematics...ile ni pure science......geology kama unapenda geology rudi tena shule kasome pgm.....au pcm ....pole sana mdogo wangu kwa kupoteza muda kusoma comb ya hge huku ukukitegemea kusoma science ......mi nakushauli songa mbele kasome mambo arts na bishara vyuoni ila kama unapenda rudi shule kafanye pcm
 
Mr C. Na PGM ambaye hakupiga chem o-level inakuaje??? au coz zip related to geology anaeza chukua???
 
no.....mdogo wangu haiwezekani lazima uwe na physics na mathematics...ile ni pure science......geology kama unapenda geology rudi tena shule kasome pgm.....au pcm ....pole sana mdogo wangu kwa kupoteza muda kusoma comb ya hge huku ukukitegemea kusoma science ......mi nakushauli songa mbele kasome mambo arts na bishara vyuoni ila kama unapenda rudi shule kafanye pcm

EGM vp braza?
 
Napenda kuuliza hivyo wanajamvi misaidie kama anaweza
Natanguliza Ansate kwa wote...

We fanya hivi, pasua sana let say AAA au ABA na zaidi. Unasoma tu kwenda mbele. Ukiritimba wa pure science
ulikuwa unaletwa na uwepo wa chuo kimoja ila sasa vyuo vingi tu la msingi uwe na uwezo wa kujilipia.

Huwe PGM, EGM, HGL, HGK.... hakuna specialization hapo. La msingi itakubidi huwe na kichwa sana kuenda huko.

Vyuo vingi duniani kote. Elimu ya bongo masharti kibao ila wasomi vilaza.
 
Ndio unaweza ila hakikisha hiyo h kwenye hge inabadilika kuwa p nadhani umenielewa...maana geology ni science wakati hiyo yako ni arts.
Mkuu, every knowledge is a science and every application for Science is an ART!!
 
We fanya hivi, pasua sana let say AAA au ABA na zaidi. Unasoma tu kwenda mbele. Ukiritimba wa pure science
ulikuwa unaletwa na uwepo wa chuo kimoja ila sasa vyuo vingi tu la msingi uwe na uwezo wa kujilipia.

Huwe PGM, EGM, HGL, HGK.... hakuna specialization hapo. La msingi itakubidi huwe na kichwa sana kuenda huko.

Vyuo vingi duniani kote. Elimu ya bongo masharti kibao ila wasomi vilaza.

thanks...
 
inategemea unataka kusoma Geology ya aina gani, maana Hata PGM utasoma "with" Geology, yaani labda Geography witrh Geology nk

lakini kwa Pure Geology (Chemistry iliyoganda)aka BSc in Geology inakupasa uwe na PCM mkuu
 
na coz kama petroleum engineering, mineral processing engineering, mining engineering na engineering geology INAKUAJE MKUU kwa PGM ambar hakupiga chemistry o-level???
 
Mkuu, every knowledge is a science and every application for Science is an ART!![/QUOTE]
Ikikaa hivi itakuwa imetulia:Mkuu, every knowledge is science and every application for Science is an art!!
 
Back
Top Bottom