Ina maana wahandisi wetu wa coet hawawezi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ina maana wahandisi wetu wa coet hawawezi??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Az 89, Apr 29, 2012.

 1. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nimeshangazwa sana na hii hali ya kutoa tenda kwa wachina wakati kuna wataalam kibao kutoka COET-UDSM....kuna ujenzi wa student centre unaendelea hapa chuo wamepewa Wachina, kuzungusha uzio wa Mabati hata huo nao wachina! Hivi kuna haja gani ya kuzalisha wahandisi wasiotumika? Hili linakera sana..
   
 2. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkuu sijakuelewa? Una maana gani? Wewe unachanganya kati ya wakandarasi na Wahandisi. Mtu yoyote anaweza kuwa Mkandarasi ili mradi tu awe na Caapital. Uhandisi unapatikana kwa kusoma. Unajuaje kama kwenye hiyo kampuni ya Kichina hakuna wahandsi wa kibongo? Mkuu hao consultants waliopo hapo sio wabongo? Nazungumzia Structural Engineer, Service Engineer, Architect na Quantity Surveyor.

  Mkuu hujui labda huo mradi unajengwa kwa niaba ya Watu wa China, unategemea atapewa mbongo?Miradi mingi ikijengwa kwa niaba ya Watu wa nchi nyingine, huwa wanakuja na kambuni zao.

  Kumbuka kuna daraja litaanza jengwa kama sijakosea litakuwa Igunga, Wakandarasi wa Kibongo wamejiunga na kupewamradi huo. Hapa najiuliza wametumia vigezo gani, walishinda tenda?
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ahsante mkuu kwa kunielewesha! Namaanisha wakandarasi wa kibongo ambao wengi wanazalishwa palepale(COET)...Wameshndwa kuchukua tenda za aina hii? Au ndo milungula inapita.
   
Loading...