English tests | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

English tests

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mzurisana, Apr 28, 2012.

 1. m

  mzurisana Senior Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimefanya applications kibao za kusoma masters abroad , ila nyingi wanahitaji niwe nimefanya english test (IGCSE, IELTS, INTO, TOEFL, etc) bt na me cjawahi fanya hiyo kitu, naulizia wapi ninaweza kufanya hy test, especially km kn za online links ambazo mnaona ni valid, na cio longo longo, au vyuo gan mnadhani naweza pata, na huwa unasoma kwa mda gani mpk kufikia kufanya test au unaweza fanya test bila kusoma kabla, na how much wanalipaga, n.b. nimeogopa kugoogle coz naona naweza pata links za uongo nikapay online afu ikala kwangu, niliambiwa zinafanyika pia british council, je, british council wana branches mikoani au ni kwa dar peke yake?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  British embassy wanatoa.ila cjui gharama zake.
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  British council posta zote hizo utafanya kwa sk 1
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Last time i cheked pale British Council kwa mitihani yao ilikuwa 300,000 na hiyo ilikuwa ni mwaka jana. na kwa nafasi kupata ni ngumu maana watu kibao wanafanya hiyo mitihani. kwa hiyo ujanja kuwahi ukishajua lini tena wataandikisha watu wapya.

  UDSM kitivo cha lugha pia wanatoa mitihani hiyo. quite cheap i would say less than half of British Council's fee. lakini pia ilikuwa 2011 inaweza kuwa imepanda bei kidogo.

  kwa mikoani nadhani ukienda kwenye public, reputable and reliable university/college utafanikiwa. lakini pia inategemea na ni mkoa upi upo.
   
 5. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Kwa vyuo vya nje, hapo penye red kujisumbua tu. Wenyewee wanataka IELTS,TOEFL, GMAT nk
   
Loading...