Limekaaje hili la diploma to digree... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Limekaaje hili la diploma to digree...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mashimbamang'oma, Apr 27, 2012.

 1. m

  mashimbamang'oma Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau embu tuchangie hii hoja kwa umakin... Kuna taarifa zimesambazwa vyuon kutoka TCU kuwa wanafunzi wanaosoma Diploma hawatoruhusiwa kuunganisha Degree mpaka upite mwaka mmoja wakiwa kitaan... Je hii ishu mnaipokeaje wadau? Maana nawaonea huruma sana madogo... maana Magamba na system zao za Elimu? Kila siku idea mpya...
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  jukwaa la elimu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  TCU janga la kitaifa.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Usishangae hilo, shangaa Phd ya Dokta Slaa haina digrii hata ya kuombea maji.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haswaa!
   
 6. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na hilo pia si la kushangaza sana, ila la kustaajabisha ni udokta wa Dk Jakaya Mrisho Kikwete.
  Jamani nchi hii, weee acha tu. Najivunia kuwa mtanzania lkn najuta kutawaliwa na viongozi wasio na utu hata kdg!
   
 7. c

  chilubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Kwani kati ya TCU na NACTE ni nani ana nguvu? NACTE wanasemaje kuhusu qualification za kuingia degree? Elimu ya tanzania ni kuharibiana maisha na ndio maana hatuendelei!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kikwete PhD zake ni za utumishi ulitukuka. Kafanya mambo ema Tanzania ambayo hakuna Rais hata mmoja amewahi hata kuyawaza. Naliyokuta wenzake wamefanya yeye kafanya zaidi yao, au na hilo hulipendi?
   
 9. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kuna aliefuatilia na kujua tatizo liko wapi?muhula wa diploma unamalizika mwezi wa sita hadi wa saba,na hapo bado matokeo hayajatoka,mpaka yakitoka na mwezi wa nane au tisa,sasa huo mchakato wa ku apply utafanyika vipi?form six wanamaliza mwezi wa pili na matokeo yao yanatoka mwezi wa nne au tano na muda ku apply kwa woote huwa ni mwezi wa tano hadi wa sita,kwa hiyo ni ngumu kwa wao(diploma) kufanya application bila matokeo kutoka,labda uanzishwe mchakato wa ku synchronize academic year za form six zilingane na za vyuo vinavyotoa diploma ili wamalize katka muda unaofanana ili watume application pamoja!
  Huo ni mtazamo wangu.
   
 10. c

  chilubi JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  There is a difference between the new comers and those who are continuing on the same institution. Kwa wale wapya watalazimika kuchukua form zao katika mwezi wa tano na kwa wale ambao wapo pale pale chuo wao huwa na system yao pia, yanapotoka matokeo basi wao huruhusiwa kuchukua form na ku apply for degree, kwaiyo hapo amna tatizo la muda wa usajili kwa waliosoma pale pale chuo, problem inakuja kuwa, umemaliza diploma IFM wataka kwenda CBE hapo nafikiri ni kitu kingine coz usajili cbe utakuwa umefungwa kwa wajao wapya!

  Sasa diploma wakae nje kwa mwaka 1 mzima wafanye nini? Na kwanini iwe hivo? Kuzeeshana madarasani tu!
   
 11. m

  mchallo Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saluti mkuu hapo umenena.
   
 12. A

  Azizi Bin Adam Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Elimu Bora Bongo bado sana. Hii ni kwa sababu kuna viongozi ambao wanaziba kabisa mianya ya vijana kupenya kwa hofu ya replacement. Hapo panahitaji mchakato mkubwa sana lakini nani afanye mchakato huo?
   
 13. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....ndio....

  Mje vijijini kwanza fundisha wanetu....
   
 14. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Sio kuzeeka mkuu,hapo inategemeana na makubaliano kati ya NACTE na chuo husika,kama NACTE watawaruhusu hapo sawa,lakini ni vizuri watu wakajifunza kufuata utaratibu,kama utaratibu hauruhusu ndugu zangu tuanze kufuata utaratibu,SIKU HUWA NAAMINI HIZI NJIA ZA MKATO TUNAZOZITAFUTA NDIO ZINAZOZALISHA MAFISADI!
   
 15. c

  chilubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Mkuu sifikiri kama chuo cha serikali kitakuwa kinapromote njia za mkato. Utaratibu ulivo duniani kote hasa ni level ya chini katika chuo ni certificate (1 year) diploma (2 yrs) bachelor(3/4yrs), na sijawahi kusikia katika nchi yoyote yenye utaratibu usemao kuwa baada ya diploma, mtu akae nje mwaka mzima!!! Huku ni kurudishana nyuma! Ingekua vile vyuo vya kihindi vya kila course miezi sita kweli, lakini chuo cha serikali, kilichoweka ngazi hizo kisha eti ukae nje mwaka mzima!! Mwaka mzima ufanye nini? Sasa kwa mfumo huo wakukaa nje mwaka mzima ndo utazalisha MIFISADI hasa ilobobea!! Tz hakuna elimu, ndo maana watu hukimbilia India na malaysia!
   
 16. c

  chilubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012

 17. c

  chilubi JF-Expert Member

  #17

 18. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  elimu ya bongo msala
   
 19. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaani wewe na huyo chizi Ribson mmenichekesha mpaka basi, watanzania mnawazaga nini sijui
   
 20. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona diploma wameambiwa wanamalìza mwezi wa tano tarehe 14 ili kuwapa fursa ya kuapply
   
Loading...