Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Salamu Waungwana. Nina kijana wangu amemaliza F4 mwaka jana lakini kwa bahati mbaya alipata Dv 4 ya pointi 30. Nipo kwenye mikakati ya kumhangaikia. Nimesikia kuwa hapo UDSM huwa kuna kozi za...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Heshima Mbele Wakuu.. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi-NBAA leo imetoa matokeo ya watahiniwa wake waliofanya mitihani mwezi Mei mwaka huu. Niwapongeze wale woote waliofanya vizuri katika...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
tcu
hizi pesa za kujiunga na chuo kwa hii system ya tcu wanapa hata kdg vyuo husika
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tanzanaia yetu kila sku elimu yetu inakuwa mbovu. hvi ni kwa nn serikali na jamii tumekaa kimya. tunazalisha taifa la wwtu wasio na maarifa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau mimi nilimaliza A-leval mwaka 1998 na nini Principal Pass moja na Subsidiary Moja..Kwa sasa ninfanya kazi Shirika fulani kubwa hapa Tz na ninahitaji kuongeza ELIMU angalau ya Diploma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuandalieni mfululizo wa makala ziitwazo Hekaya za Bahlul. Makala hizi zina ukweli ndani yake ndani ya Historia ya Mashariki ya kati. Tutaanza kwa kukupa maana ya Bahlul na Historia yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko mwaka wa tatu, nimetuma paper yangu kwa conference moja huko Italy, wameikubali, wanataka nijiandikishe kwa kulipa EURO 360, then niende nika present paper. Hivi gharama za maisha huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is a pity that the TCU Central Admission System up to know still displays on thier website that registration will expire on 4th/7/2012. Mind today is 5th July 2012. How irresponsible they...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka 1995.chuo cha uhasibu wanachuo wote walifukuzwa na hawakurejeshwa tena chuoni .Nimebahatika kukutana na baadhi yao mfano aliyekuja kuwa rais wa Daruso komredi Julius...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulimboka ana damu tofuti na Waislamu waliouliwa Mwembechai? Sehemu ya mazungumo ya Mheshimiwa Kitwana Kondo (MB) mbele ya waandishi wa habari Mei 27, mwaka huu JUZI tarehe 21 ya mwezi huu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wa kwanza ni wanasiasa wanaoingilia Mahakama kufikia maamuzi.Wa pili ni Taasisi ya Sheria kwa Vitendo almaarufu kama Law School of Tanzania.Hawa wanafanya kila liwezekanalo kuzuia ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kwa anayejua Takwimu halisi ya Idadi ya Maprofesa Nchini Tanzania kwa sasa, anijuze tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda wa application umesogezwa mbel mpaka Tar 03 ndio itakua mwisho
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani hivi hiki CHAMA CHA WALIMU kipo kwa manufaa ya nani? Mi naona bora walimu wa primary wawe na chama chao na wale wa sekondari nao wawe na chama chao,kama ilivyo kwa wakufunzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi ni elimu KIASI GANI INATOSHA KUFUTA UJINGA???
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomben mnixaidie kwa hli kati ya hz koz ip ni bora na yenye practical ya ukwel na yenye soko kubwa xana shukuran.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
The brain grew in the body of a German woman in the summer of 1878 in the Swabian Alps of the Danube. The woman lived there with her husband in a medieval city called Ulms. The husband was a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Please anybody with this software tuwasiliane na aniambie malipo ni ngapi pia nina shida nayo sana.Please help.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…