Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau nawasalimu! Mwenye taarifa yoyote kuhusiana na boom kwa 1st year hapa IFM anijuze plz mana hali ishakuwa tete, tangu tar8 mpaka leo duh!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua vyuo vizuri vya South Africa vinavyotoa elimu masafa hasa katika fani ya ICT
0 Reactions
0 Replies
934 Views
the question is if u hear somebody say a comptuter speed is 2.4GHz what does it mean?
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Homa ya mapafu ya mbuzi (HMM) ni ugonjwa hatari wa mbuzi unaosababishwa na Mycoplasma capricolum subspecies capripneumoniae (Mccp). Ugonjwa huu unajidhihirisha kwa dalili zifuatazo; kupumua kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu salaam sana,ni mara ya kwanza kukanyaga jukwaa hili. Katika magazeti ya leo kulikuwa na habari kuwa tume ya kuratibu ada kwa shule binafisi itaanza kazi januari,na tume itapanga bei moja...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
0 Reactions
1 Replies
932 Views
nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Why bother using spreadsheet?
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Hii ni kwa ajili ya Sangarara na magenius wengine wa Math. Tafadhli naomba njia kupata value ya 'Y"
0 Reactions
14 Replies
1K Views
What's the historical background of adult education learning in Tanzania after independence? Waku Kwa ustarabu nawasilisha nikisubiri fikra na mawazo yenu. Mzaha Bora ukapita tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yenyu wadau, nasikia jana kwenye news star tv walisema wale wanafunzi wahanga wa vyeti vya kumaliza UCLAS (sasa ARU) watapewa vyeti vyao UDSM, kwa mwenye taarifa naomba atujuze kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The government may consider restructuring the Higher Education Students Loan Board (HESLB) in a bid to make it operate independently rather than depending solely on funding from the government...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Wanafunzi kadhaa watakosa masomo baada ya kutolewa darasani kufuatia kikundi cha Wanawake Gairo Mkoani Morogoro kuifunga kwa muda usiojulikana Shule ya Msingi KWIMAGE Trust Education kutokana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
haya sasa batch ya kwanza imetolewa hapa na ndugu zetu hawa hivyo check kama jina lako lipo kama halipo basi subiri batch ya pili na ya tatu Home!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ebana nimepata tetesi kwamba cont students UDOM waliokuwa hawana loan wamepewa so naomba clarification juu ya hili nmeangalia web ya board hakuna. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wana JF mliopo hapo UDOM, jamaa mmoja amerudi home kufuata Pamba zake za Haiba na kushonesha Suruali za vitambaa fasta fasta, Jamaa hajawahi kumiliki suruali ya kitambaa then ni...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
More than 2000 pupils in Njombe District, Njombe Region received desks from Tigo in partnership with the Hassan Maajar Trust (HMT) recently. HMT and Tigo donated 680 desks at Ruhuji in Njombe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi naweza kuappeal kama sikupata mkopo jamni?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Teach, tell, advise or inform us about anything that you think will have positive impact in our lives, which may be educational, economical, social, technological, political or whichever. You...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…