Wanawake wafunga shule Gaio - Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wafunga shule Gaio - Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Oct 24, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Wanafunzi kadhaa watakosa masomo baada ya kutolewa darasani kufuatia
  kikundi cha Wanawake Gairo Mkoani Morogoro kuifunga kwa muda usiojulikana
  Shule ya Msingi KWIMAGE Trust Education
  kutokana na mmiliki wa shule kushindwa kulipa kodi ya pango.
  ITV.
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Tuwe makini kabla ya kuamua kumpeleka mtoto shule, hususani hizi za watu binafsi. Umakini unahitajika ili, kwa mwaka ujao wa masomo, makosa kama haya yasijirudie.
  "A wise man learn from others' mistake"
   
Loading...