Kwa udom kama n mavazi mtanyooka tu.Hata madem hawaruhusiw kuvaa suruali hasa za kubana,ma men wale ma rastaman hawaruhusiw ni kunyoa tu,waulize watakwambia,hakuna cha pensi wala sandals wala ma chen ya shngon au kofia ama nguo zenye charter fulan hata sket fup ni marufuku!,CHEZEA MLACHA WEWE?Ukiingia kichwa kichwa utatoka kisogo sogo dogo.Take care.
Naona sera iliyoasisiwa na SAUT inashika kasi, wasomi lazima waonyeshe ya kwamba wanajitambua kuanzia mwonekano wa mavazi.