Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Diploma ya lab. Tech mbona category yake hawajaiweka? Kama umeicheki msaada plz?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF nilituma maombi wizara ya afya kwa ajili ya mdogo wangu,lakini mpaka sasa sina uhakika kama kuna lolote wizara ya afya,hivyo mwenye namna ya kunisaidia kupata chuo chochote ama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Naomba kwa anayefahamu kujua ni lini mtinahi wa kitaifa wa kidato cha pili 2012 unafanyika. If possible niambiwe unaanza tarehe gani hadi tarehe gani. Please...!
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Inasemekana "mwanafunzi wa first year baada ya kuchukua boom lake akatokomea town kuzitumbua(akalewa chakali), akachukua malaya.baadae ya kumaliza kazi yao yule dada akamwambia kuwa yy...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jaman hv matokeo ya wizara ya afya yatatoka lin? Maana tushachoka kusubiri!
1 Reactions
39 Replies
19K Views
Katika hali isiyo ya kawaida katika ufisadi unaoendelea kuwaka moto Tanzania hali imekuwa mbaya zaidi huko udom kwani wameondoa watu kibao medicine,nursing, midwifery na petrolleum engineering...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwanza nawasalimu woote mliokwisha ripoti chuoni UDOM vipi mnakionaje chuo chetu hicho?, vipi mazingira yanaridhisha? vipi watoto? wale wa social sciences, hiyo ndio college maarufu hapo chuoni...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Wale wa udom batch 4 ya selection za wanafunzi wa 1 year imeshatolewa,tembelea website ya udom upakue mzigo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wapendwa shikamoo,poleni na majukumu ya kujenga taifa msaada tafadhali nimeappeal loan board lakini cha ajabu nakutana na hilo tatizo hapo chini kwenye picha "The Course field must contain only...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF salaam. Naomba kwa mwenye link au list ya SELECTION ya Msc Information Technology and Management kwa mwaka 2012/2013 hapo IFM. Mimi niko huku Singida sijajua kinachoedelea. Please kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hiki chuo ni noumer
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, naomba yeyote mwenye "idea" kuhusu kichwa hapo juu anisaidie ili nifanikishe hatua husika. Swali n kama ifuatavyo;Write the "Programming Competency Statement" (The ProgrammingCompetency...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mie kwa upande wangu naonekana tapeli halafu mwongo kisa hii wizara. Matokeo ya watu hawatoi, wanasema yapo kwenye website, ukiangalia web, hakuna kitu kama hicho. Wanataka tuandamane?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa hii imekuwa to much maana tumekaa banch mpaka tumechoka sa nahisi mpaka viwango vya watu vimepungua kwa ajili ya strees ngoja tu tusubiri mpaka hiyo tar. 15 kama ni kweli maana tumezoea...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Ni wiki nzima sasa sijapata update toka heslb kuhusu cont' students.naomba aletembelea huko au tetesi atujuze wat iz going on life ni gumu macho yapo heslb!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHETI CHA DEGREE (MLIMANI) KIKIPOTEA HUWA WANATOA KINGINE? na taratibu zikoje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JF tafadhali sana naomba mnijuze kama wale applicants ambao walikosa kabisa mkopo for undergraduate (majina yao hayakutokea kwenye orodha yenye mapungu na hawakupata) wanaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chuo cha kufundisha ukahaba kimeanzishwa huko nchini Hispania na gharama ya kusoma kozi hiyo ni euro 100.Kampuni inayohusika na kuanzisha kwa kozi hiyo imeshinda changamoto zote za kidini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom