Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hebu angalia hii Clip, kuna mafunzo mengi hapa I LIVE IN HELL: Satan's Senior Demon Exposed!!! - YouTube Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie chuo chochote cha serikali cha kumpokea huyu mjomba wangu maake baada ya kufeli kidato cha sita amechanganyikiwa sasa anataka kusomea umedecine kwa kutumia cheti cha Form IV...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello members!,hope u doin good n here!,these are my necta form four results;hist C ,civ C,geo D,kisw C,eng C,lit C,phy C,bio C,chem C ,math F.now with this will I be taken to a government school...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa...
2 Reactions
144 Replies
13K Views
samahan wakuu naomba msaada,nataka kuchagua course ya bachelor of account and finance BAF, chuo kipi kinatoa BAF nzur.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu naombeni ushauri hii coz ya bachelor of science in microbiology soko lake limekaaje?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Selection za ualimu, afya na kilimo za toka lini wana jf nijuzeni
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...
1 Reactions
23 Replies
36K Views
Wakuu naombeni msaada wenu hapa......nimejaza fomu ya mkopo online sasa pale kwenye index ya shule kila nikiingiza ikawa inaniambia school not found....baada ya kuona inanigomea sana nikaamua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wana jf, samahani naomba msaada wenu ili niweze kuelewa haya mambo.mimi nataka ku-apply chuo na napenda kusomea moja kati ya achtecture au building economics.,ila sijui kipi kina soko...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Nilihitimu form six mwaka jana nikapata I.7(Phy-C,Chem-B,Adv/math-B).Kwa bahati mbaya niliugua ghafla hivyo nilishindwa kufanya application za vyuo tcu ukizingatia mi ni yatima na sina msaada hata...
0 Reactions
45 Replies
18K Views
Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na matokeo yalikuwa MATH;C ,CIVICS;B ,PHY'S;C ,BIOS;C ,CHEM;D ,GEOG;D ,ENG;D ,KISW;C..Nilishindwa kusoma kutokana na sababu za kiuchumi....mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini: 1.0 UTANGULIZIBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini: 1.0 UTANGULIZI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta tuition ya HKL form5 , sehemu iwe DAR!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, mmewahi kufikiria kuhusu wanafunzi wetu wa A-Level wanavyopotezewa muda wao juu ya masomo ya Basic Applied Mathematics (BAM) na General Study (GS)??? Kwa mchango mkubwa wa masomo haya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nilikuwa napita pita katika TCU website hususani katika kitabu cha sifa za kudahiliwa katika fani fulani na kuangalia sifa za vyuo mbali mbali za kuingilia katika fani mbali mbali. Nimekutana na...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Jaman naomben msaada kwa anayejua tuition hapa zanzibar wanapofundisha PCB. Anielekeze mahali ilipo na kuhusu gharama zake zikovp. Ntashukuru kama mtanisaidia ndugu zangu!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nisaidieni msaada nina mjomba wangu yeye amemaliza form six na alikuwa akisomea combinationa ya PCM alichokipata kwenye matokeo yaliyotoka hivi majuzi ni Point 20 division four. Ni wapi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mm nmehitimu nta 6 financial administration-accounting, so nlikua nataka kuomba degree in statics ya udom au economics in project planning and mgt bt requirement zake zmeandikwa related diploma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…