Matokeo ya walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu na afya 2013/2014 yatatoka lini wadau nijuzeni kama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu na afya 2013/2014 yatatoka lini wadau nijuzeni kama

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HAMIS MOHAMED, Jun 7, 2013.

 1. HAMIS MOHAMED

  HAMIS MOHAMED JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Selection za ualimu, afya na kilimo za toka lini wana jf nijuzeni
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2013
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi zinatembea maofisini zinadai kabla ya tarehe 24/June mwaka huu, post za watumishi wapya wa Afya zitakuwa zimetoka.

  Tetesi hizo zina uthibitisho mkubwa kwani Tangazo rasmi la wizara ya Afya linawataka watu wote watakaoajiliwa kuripoti kwenye vituo vyao watakavyokuwa wamepangiwa kabla ya tarehe 25/June mwaka huu.
   
 3. Duniaze

  Duniaze Senior Member

  #3
  Jun 7, 2013
  Joined: Feb 27, 2013
  Messages: 151
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  umeelewa maada kaka au upo tungi!
   
Loading...