Msaada HESLB Pleaaase | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada HESLB Pleaaase

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbrazili, Jun 7, 2013.

 1. Mbrazili

  Mbrazili JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakuu naombeni msaada wenu hapa......nimejaza fomu ya mkopo online sasa pale kwenye index ya shule kila nikiingiza ikawa inaniambia school not found....baada ya kuona inanigomea sana nikaamua kwenda nayo ivyo ivyo nimefanikiwa kujaza details zote lakini tatizo linakuja kuwa jina la shule yangu niliyosoma O level halipo.....nimejaribu sana kurekebisha lakini halitaki na info zishaseviwa hivyo pale imebaki index number yangu na ya shule.....sasa naomba kuuliza je hiyo ni makosa au hamna tatizo hata nikipeleka vivyo hivyo???.......na kama ni makosa nifanye nini ili kurekebisha hii kitu....
  Ahsanteni
   
 2. Islam005

  Islam005 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2013
  Joined: Nov 1, 2008
  Messages: 2,549
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kwanini hukusoma Olevel?
   
 3. wamogori

  wamogori JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2013
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 887
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wapigie simu wahusika wakupe maelekezo 022 550 7910
   
 4. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2013
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 860
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  nenda sehemu ya kuedit info alafu ubadili form iv no...ukibadili jina la shule litaonekana..download tena
   
 5. Mbrazili

  Mbrazili JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hukihisi hutaki kuchangia kaa kimya...no time 4 jokes kwa mamburula kama wewe
   
 6. Mbrazili

  Mbrazili JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2013
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kufanya hivyo naambiwa kwanza niweke wrong index afu ndo niweke mpya,tatizo zote zinafanana so inagoma kurekebisha
   
Loading...