Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku...
0 Reactions
2 Replies
130 Views
Anonymous
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kuna shule huku Mbezi Makabe inaitwa Safi Primary School, watoto wa darasa la nne wanatoka saa moja usiku mpaka wafike nyumbani ni saa 2 usiku. Asubuhi wanafuatwa...
3 Reactions
9 Replies
247 Views
Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa...
1 Reactions
6 Replies
143 Views
Niliposikia D.I.T wamefungua tawi la Mwanza nikaona kile kilio cha watu wa kanda ya ziwa kukosa chuo cha sayansi kwa muda mrefu kimejibiwa. Nilitegemea kuzikuta zile kozi kuu kama Telecoms, Civi...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mnasoma kutumia magroup study. Mnatafuta material kupitia Ai. Huu ninuzembe na na hakuna mtakacho kipata uelewa wenu bado unakuwa ni mdogo sana. Fuateni uashauri wa Prof wa kujisomea kwanza na...
3 Reactions
13 Replies
244 Views
Habari wenzangu 🙏 Naomba ushauri wenu. Nataka nikasome Bachelor of Information Studies na mwezi wa 10 naanza. Je yupo aliyesoma kozi hii? Experience yake vipi? 1. Mnaajiriwa wapi kwa sasa? 2...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Anonymous
Wakuu, Kuna ndugu yangu wangu la 7 ndo anarudi shule leo karudi saa 1 usiku. Muda wa kutoka shule ni saa 10 lakini hawa la 7 wanakalishwa hadi saa 1 usiku Nilivyouliza kwanini wanabaki hadi...
1 Reactions
10 Replies
195 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Mtaala ulioboreshwa ulioanza kutekelezwa Januari 2024 una ulinganifu wa viwango vya kimataifa, hivyo kuwataka walimu...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Shule ya Sekondari Morogoro (Kidato cha Tano na Sita) inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa mabweni kutokana na ongezeko la idadi ya wanafunzi. Baadhi ya wanafunzi wanalazimika kulala chini...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
nasikiasikia tu mkemia ila sijajua ni mtu wa aina gani na inatakiwa usome masomo gani ili uwe mkemia.. tafadhali mwenye kujua anijuze zaidi au kama kuna mkemia humu aseme sehemu alizopitia hadi...
0 Reactions
91 Replies
21K Views
Na waliounga mkono kupita kwa wazo hilo wawe Kuni. Si kwa tabu hii, dah!! Najiuliza mara elfu elfu walichowaza.
2 Reactions
12 Replies
283 Views
1. Bachelor of Cyber Security (IAA) 2. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (ARU) 3. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (MUCE) 4. Bachelor...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Habari. Tuwasaidie wadogo zetu waliomaliza form six mwaka huu wanaotarajia kwenda vyuoni mwaka 2025/26 Karibu Kwa kutaka degree useless ambazo zitampotezea muda na Wala hasizisogelee kusoma...
15 Reactions
114 Replies
7K Views
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kozi ya moja kwa moja kusomea uanakemia? Vipi kuhusu vigezo vya kusoma kozi hio? Ni vyuo gani vinahusika? Na vipi kuhusu ajira zake? Na kwa nini siisikii kozi hii na hali wanakemia wapo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu.....mim ni mkemia nipo hapa kwa ajili ya kuitumia taaluma yangu ya ukemia na uwezo wangu wa kufundisha mim ni mwanafunz wa chuo mwaka wa 2 naenda course ya b.chem lakini pia niko na...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Tanzania inajiandaa kuzindua mabadiliko makubwa zaidi katika sekta ya elimu katika kipindi cha miongo kadhaa, kwa kuanzisha mafunzo ya vitendo (internship) ya mwaka mmoja chini ya usimamizi kwa...
1 Reactions
13 Replies
560 Views
Mara oh mwehu wew unapost pumba tu na Hauna mchango wowote jeiefu folamu..haya sasa mzigo hua wa statistics na wale wa data analysis!!. Bureeeee kabisaaaaa bureeeeeeee!!!!!
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
1 Reactions
12 Replies
349 Views
Wakuu kwems? mimi ni mwl kwa 10 years now, (accounts and Business) nawaza ipi itanipa faida, kusoma CPA au kuongeza masters + PhD? ipi inaweza kunipa faida kwa sasa. niko government schools...
3 Reactions
17 Replies
254 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…