Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

Ak4700

Member
May 29, 2018
18
97
Wakubwa habari,

Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne.

Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi kuwa ndo nitakapotajirika.

Swali; Je naweza kusoma ufundi veta na nikakidhi vigezo vya kusoma degree?
 
Itabidi usome kwanza diploma ya miaka 3 ndo uombe degree
 
Wakubwa habari,

Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne.

Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi kuwa ndo nitakapotajirika.

Swali; Je naweza kusoma ufundi veta na nikakidhi vigezo vya kusoma degree?
Ipo hivi..!!

1. Soma VETA kwa fani unayoitaka ihusuyo engineering.

2. Maliza grades zote za VETA then utaenda FTC (Tull Technician Certificate) au Diploma kwenye fani hiyo hiyo. Hii zipo DIT, ARusha Tech na MUST.

3. Baada ya hapo utaenda kusoma degree ya fani hiyo ihusuyo engineering

NB.
1.
Kutoka hatua moja kwenda nyingine ni lazima ufaulu. Vinginevyo hutasonga mbele.

2. Kutoka FTC au Diploma kwenda degree, kunahitajika ufaulu mkubwa kidogo. Zamani, sababu ya hili ilikuwa, wewe unakuwa tayari una profesion yako na unaweza kufanya kazi ya profession hiyo. Hivyo walikuwa wanawapa nafasi kuwa wanaomaliza form six kombi zinazoweza kuwapeleka kusoma engineering.
 
Nashukuru sana mkuu
Hizi grades ndo NTA Level?
 
Nashukuru sana mkuu
Hizi grades ndo NTA Level?
Yes
Soma hapa chini

1703071396741.png

1703071422381.png

1703071464001.png

1703071486713.png
 
Kama una form four tayari fanya pepa ya o level tena uki include Physics, Chemistry na Mathematics ili At leat UPate C tatu za Kufanya pepa ya A level PCM Or anything else then uombe kwenda University Kusoma degree ya Engineering.

Hiyo itakuchukua only two years. Hakikisha unasoma kwa bidii bata unapunguza na mashortie pia unapunguza muda wote ni kubukua tu.

Watu wengine watasema PCM Ngumu for only one year..... Kumbuka hata VETA usipokomaa hufaulu pia... So kukomaa nikotekote.
 
Iyo ni njia ngumu hasa kwa mtu kama yeye.. imagine madogo wanaotoka advance wanapiga miaka miwili ila kutoboa ni ishu..
Kingine ni kwamba vyuo ni vichache kulingana na idadi ya wanaofaulu, kwa iyo inahitajika division 1 tu ndo atleast ajipe matumaini ya kusoma engineering…

Chakushauri hapo anatakiwa kuclear masomo ya o’level ya phys, maths na chemistry halafu akasome diploma the aunganishe degree
 
Itakichukua miaka zaidi ya 7 kuifikia degree kuanzia hapo ulipo Tena na zaidi katiya Saba Hadi tisa. Unaanza ufundi level 1-3 unapata access ya kwenda diploma miaka 3, thn degree miaka 3....
 
Back
Top Bottom