Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wanaJF, Binafsi namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anayozidi nineemishia. Na nipende kuwapa pole wale wote wanaopitia maswaibu mbalimbali na kumuomba Mungu awapiganie...
18 Reactions
31 Replies
25K Views
Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3 Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar Wana JF, Hv inawezekana kwa watu wenye diploma ya account and finance kusoma (CPA)? Na Kama inawezekan ni vigezo gan vnahitajika?? Na ni level gan ataanza nayo? Tuko hapa kujifunza naombeni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nataka kuuliza hv mwanafunzi anakosa sifa za kujiunga na kozi aliyochaguliwa na serikali chuo cha kati baada ya mda kias gan
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari comrades kichwa cha habari chajieleza .Mwenye nayo please [emoji120] atume humu
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ? Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili.. Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Nauliza tu maana fikra za wazazi zinatofautiana Yaani kabisa unamwaminisha mwanao akimaliza Chuo Kikuu atapata Ajira Serikalini? I wish you a Merry Christmas 😀
1 Reactions
5 Replies
518 Views
Msaada Wana JF, Nashindwa ku log in ktk helsb account kila nikiweka details zangu inakuja. "No active account found with the given credentials"
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna shule nyingi zime simama shule kama Tusiime Zhabika St Ane Maria Fortune Sahara Abc school FOUNTAIN GATE ACADEMY GREENHILL PRIMARY SCHOOL MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL...
1 Reactions
6 Replies
946 Views
Napenda kuuliza Biomedical science Kwa hapa Tanzania inatolewa chuo Gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna watu wanapata udaktari kwa dakika mbili (udaktari wa heshima) na wale wanaovuja jasho kupata huo udaktari. Sasa maajabu hao wa dakika mbili wanatukuzwa kwa udaktari huo utadhani bila kutaja...
0 Reactions
3 Replies
426 Views
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua. Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya...
13 Reactions
80 Replies
5K Views
Back
Top Bottom