Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu heri ya mwaka 2024 mnaofahanu kuhusu hii kozi imekaaje hasa kwenye soko la ajira na fursa mbalimbali. Asante
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naweza pata Mwl wa procurement huku ndani namuhitaji... anichek PM plz
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Wakubwa habari, Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne. Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Scheme zote zimeundwa Kwa format ya mtaala mpya.ni pm...nikusendie whatsup. Karibuni Wakuu..
1 Reactions
0 Replies
308 Views
Kama unafanya kazi chini ya ofisi ya Rais TAMISEMI ngazi za chini hususani Ualimu harafu ukapata Elimu kubwa ya juu hususani ngazi ya Masters au doctorate degree, unanielewa vizuri. Ngazi ya...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana Jf. Kuelekea mwaka huu wa masomo kwa Mo Dewji foundation imetangaza mpango wa kudhamini wanafunzi unaofanyika kila mwaka wa masomo .Ni fursa kwa wahitimu wenye vigezo...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuanzia mwakani 2024 watumishi katika kada zote watatakiwa kuonyesha majukumu yao kwenye mfumo ambapo tathimini ya uwajibikaji wa kutekeleza majukumu hayo itafanyika kwa kutumia mfumo huo wa ki...
9 Reactions
28 Replies
7K Views
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
How virtual assistant can change your freelancing business...? As a virtual assistant, you can provide administrative support to individuals or businesses remotely. Tasks may include managing...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA ANAYEHITAJI KUJIUNGA NA VYUO VYA BIBLIA VYA ADA NAFUU KABISA ANICHEKI INBOX/PM. MASHARTI: APPLICATION NI BURE ADA NAFUU KABISA BOARDING(CHAKULA NA KULALA) MWAKA WA MASOMO NI JANUARY 2020...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Wana JF ninahitaji kupata softcopy ya undergraduate prospectus ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa mwaka wa masomo 2023/2024 au 2022/2023. Nimetafuta kwenye website yao sijaipata hivyo aliyenayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu. Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE 1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa asilimia 100. Subtasks. [emoji736]Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo? Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni.
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Naomba msaada wa project proposal for lack of desks in school
0 Reactions
17 Replies
886 Views
Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Nimekuwa nikijiuliza kwanini shule hii ya mafunzo ya sheria kwa vitendo [LAW SCHOOL] iko Dar pekee yake? Kwanini haina Matawi maeneo mengine hapa nchini?
3 Reactions
15 Replies
761 Views
Hapa kuna njia 10 bora za matumizi bora ya smartphone kwa wananchi wa Tanzania: 1. Elimu: Kupata habari, makala, vitabu vya ki-electronic na programu za kujifunza zinaweza kusaidia katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…