Mfano wa Task na Sub-Task za Mkuu wa Shule kwenye mfumo wa ESS (PEPMIS)

RAINEL LIHAWA

Member
Apr 14, 2015
33
30
MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE

1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa
asilimia 100.

Subtasks.
Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa mwaka WA MASOMO 2024.

Enrolment ya form 1 na 5. Uriport WA kidato Cha kwanza na Cha tano Kwa mwaka 2024

Kuhakikisha lesson notes zimeandaliwa ipasavyo Kwa Kila mwalimu WA SoMo husika

Kukagua maandalizi ya teaching aids Kwa walimu.

Kufuatilia ufundishaji wa vipindi madarasani Kwa walimu wote.

Kusimamia ufanyikaji wa mitihani yote iliyopangwa kufanyika na KUHAKIKISHA inafanyikia Kwa muda muafaka.

Kutoa tathimini ya shughuli za kitaaluma Ilizofanyika Kwa kipindi Fulani.

Kuwapa motisha walimu na wanafunzi wanapofanya vizuri kwenye mitihani Yao.

Kuhakikisha mitihani yote inafanyikia shuleni.

kuhakikisha takwimu zote za shule zinawekwa sawa wakati wote.

Kuuhakikisha siku zote za masomo siku 196 walimu wanahudhuria kazini.

2. Kusimamia nidhamu ya walimu na wanafunzi ifikapo desemba 2024.

Sub-tasks
Kusimamia mahudhurio ya wanafunzi na walimu. Kuhakikisha Kila siku walimu wanawahi na kusign daftari la mahudhurio
Pia kuhakikisha walimu WA zamu wanajaza kitabu Cha mahudhulio ya wanafunzi

Kidhibiti utoro Kwa walimu na wanafunzi

Kuhakikisha wanafunzi waliopangwa shuleni wameripoti wote Kwa wakati.

kuhakikisha Kuna kuwepo na mawasiliano mazuri baina ya walimu na wazazi juu ya kudhibiti utoro.

Kusimamia na kuratibu vikao, semina.

3. Kuboresha/kuimarisha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji ifikapo December 2024 Kwa wanafunzi wote 1477

Subtasks:
Kusimamia kwa makini miradi yote ya ujenzi wa miundombinu inayoletwa na serikali na kuhakikishwa miundombinu yote inakamilika kwa asilimia 100.

Kuhakikisha vifaaa vyote vya ujifunzaji na ufundishaji vinapatikana shuleni Kwa wakati

Kusimamia utengenezaji/ ukarabati miundo mbinu ya shule kama vile viti,meza , madawati, ukarabati WA vyumba vya madarasa, nyumba za walimu

utoaji wa chakula Kwa wanafunzi wote 1477 wa Rainel secondary.

kugawa majukumu Kwa walimu wote 29.

4. KUHAKIKISHA shughuli zote za njee na mtaala (extra curriculum)
zinafanyika ifikapo december 2024.

Sub-tasks:
kusimamia kitengo Cha ununuzi,

kusimamia shughuli za michezo na burudani

kusimamia uboreshaji wa mazingira

kusimamia vilabu vilivyopo shule mfano scout, takukuru, HIV malihai,nk.

kusimamia elimu ya jinsia, ushauri nasaha, afya ya akili, nk.

Kusimamia michezo, utengenezaji wa viwanja vya michezo mbalimbali, miradi ya E/K nk.
 
Shukrani zikufikie mheshimiwa
 
Back
Top Bottom