Habari,
Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa,
Namba yangu ya usajili 2021-04-01016.
UDSM tunafundishwa kwa namna...
Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana.
Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!!
Kwenye...
Habari za muda huu wana jf mm nmemaliza form 4 mwaka jana na kupata div II.19
Civics C
Histry B
Geo C
Kisw. B
Bio C
Engl C
Comm C
B/keep C
B/math D
Naombeni ushauri wakuu japo kuwa nina interest...
Wakuu,
Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika?
Ana division 1 ya 10
NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.
Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto...
Job description
RBP hosts the world’s largest and richest graduate student startup competition, the Rice Business Plan Competition, with 42 national and international university ventures competing...
Wanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule
Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
Habari zenu wakuu,
Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha.
Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na...
Dunia ina mengi ambayo yapo kwenye mazingira yetu ya kila siku,ila wengine wanajua wewe haujui.
Wewe unajua wengine hawajui,
Share unacho kijua tuongeze ujuzi.
Karibu.
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana.
Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube...
Bonjour
Mwezi may ninampango wa kufanya hiyo mitihani ya bodi ya uhasibu,
Mwenye pdf material za haya masomo naomba anisaidie , nianze kupiga msuli mapema..
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo.
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
NECTA imetangaza...
Ningependa kujua kiundani juu ya kozi hii ya BAF ni kivipi mtu aliesoma anaweza kunufaika na sehemu ambazo mtu anaweza kuajiriwa.
Nakaribisha wataalamu kwaajili ya maelekezo.
Baraza letu la mitihani pamoja na wadau wa elimu wafanye utafiti wa kina ila kubaini tatizo, kwa nini wanafunzi wanafeli kila mwaka kwenye masomo haya;
1. Basic Mathematica
2. PHYSICS
3...