Jinsi ya kurudia mitihani ya kidato cha nne (private candidate).

IQ96

New Member
Jan 23, 2024
2
0
wadau nilikuwa naomba kujua kwa anaye fahamu namna ya kurudia mitihani (private candidate ) inakuwaje? na process zote
 
Ni rahisi,nenda shule au vituo vilivyosajiliwa na necta ambazo wanatoa huduma ya watahiniwa binafsi(PC). Utafanya usajili wa kufanya mitihani.
 
Back
Top Bottom