Kuna chuo kinachopokea mwanafunzi wa form 4 mwenye D 3?

Viko vingi! Wewe sema unataka kusomea nini? Uchomeleaji (welding, ujenzi, fundi chereani, nursing, ...)
 
Kuna chuo chochote hapa Dar es salaam kinachopekea mwanafunzi mwenye D 3 tu kwaajili ya kuanza certificate ya couses za arts Au business?
Utapotea na utapoteza muda. Kwa mujibu wa NACTE na sheria zao maana vyuo vyote vinavyotoa Diploma kushuka chini vipo chini ya usajili wa NACTE au wanapata usajili toka NACTE ili mwanafunzi asajiliwe ni lazima awe na Passmark kuanzia nne na kuendelea. Hivyo D ni passmark ila zinatakiwa ziwe nne na kuendelea.
 
Sio kwa level ya certificate, muongozo utakutaka uwe na D nne, utasomo vyuo vya uchololoni, watakao kuibia ada, ila cheti kutoka NACTVET huwez pata.
 
Back
Top Bottom