Kwa matokeo haya nitapangwa comb gani advance?

Allen de jude

New Member
Jan 26, 2024
2
2
Habari za muda huu wana jf mm nmemaliza form 4 mwaka jana na kupata div II.19

Civics C
Histry B
Geo C
Kisw. B
Bio C
Engl C
Comm C
B/keep C
B/math D

Naombeni ushauri wakuu japo kuwa nina interest na kusoma business advance
 
Kasome BA ya diploma kama una interest na Busness
 
Habari za muda huu wana jf mm nmemaliza form 4 mwaka jana na kupata div II.19

Civics C
Histry B
Geo C
Kisw. B
Bio C
Engl C
Comm C
B/keep C
B/math D

Naombeni ushauri wakuu japo kuwa nina interest na kusoma business advance
Kasome HGE au ECA Sio lazima usome serikalini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom