Habari wakuu wanaJF, nahitaji ushauri kwa wajuzi wa jambo hili
Mimi niliishia form 2 nilikatiza shule kutokana ugumu wa maisha ya wazazi wangu hivyo sikubahatika kuendelea na masomo nikaingia...
Habari ya leo Wakuu, katika kutaka kuongeza ujuzi na wigo katika elimu naomba kupata maoni kwa wale wataalamu.
Je kati ya Diploma in Disaster Management na Diploma in Monitoring and Evaluation...
Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A.
Umri wangu ni...
Habari wakuu
Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical
Pia napenda kujua...
Haloo is me "Mr. Liverpool" again.
Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja..
INTRODUCTION
Mimi ni kijana mwenye miaka 32.
Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara.
Ni mwajiriwa wa...
Habari JF
Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali (...
Ni muda mrefu tangu mwezi wa pili kama sio januari tangu mitihani ya leseni ifanyike.
Nauliza hivi hakuna mkataba wa huduma kwa mteja? Hivi ninyi mnaweza kuamua tu mkusanye pesa halafu mnakaa...
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?
Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma...
Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa...
Ndugu watanzania naombeni mnisaddie jambo nimeomba Award Verification Number nikapewa muda kisha sikupewa nika update tena zaidi ya mara moja na jina langu lipo verified.
Naombeni ushauri kwa...
Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60...
Habari wanajamii, mimi nilihama mwezi wa tatu mwaka huu kutoka halmashauri A kwenda B ndani ya mkoa huohuo na uhamisho wangu ulishughulikiwa na Katibu Tawala Mkoa.
Nimefatilia kuhamisha mshahara...
Nimekulia katika mazingira ya uanazuoni.
Toka nimeanza kujitambua nilizungukwa na kila aina ya vitabu nyumbani.
Niseme tu kuwa nyumbani kulikuwa na maktaba ndogo.
Ukubwani napo nimejitahidi kwa...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake.
Pia kama...
Habari zenu wana jamvi naomba mnifahamishe shule nzuri za advance ziwe boys tupu au co-education.
Nakama mkieza kuniambia Na ada zao itakuwa vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani zangu.
Sent using...